Je, Abdul ndio anataka kuinunua Mount Meru Hoteli baada ya Impala Hotel?

CCM wanaimaliza nchi, na bado kuna wapuuzi wanaendelea kuwapa kura
CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.ninyi wenye chuki binafsi mtaishia kufa kwa msongo wa mawazo .maana mioyo yenu imejaa wivu na chuki binafsi tu.
 
Vipi ulithibitisha kuwa havikuwa vyake. Ogopa utakatishaji wa fedha.
 
Hivi ni kwanini kwenye hizi nchi yetu tunayoita ya kizalendo kila kiongozi fulani akiwa madarakani basi ndugu zake au watoto wake ambao kabla hawakuna wanajulikana na hawana cha maana ila ghafla wanaibuka na kushindana na matajiri kwa ukwasi na miradi kemkem.

hii inakuwaje kwenye nchi yenye vyombo vyote vya usalama na inteligensia hivi inamaana usalama hawashughuliki na hawa ndugu wa wakubwa.

Tuliliona hili kipindi cha magu kwa binamu yake furaha sijui ghafla tu eti anakubalika kawee zima mara ana media kubwaa kwa kikwete hivyohivyo ridhi1 kwa mkapa mkewe alibamba sana.

mbona kama hizi nchi zetu ni changa la macho sana..!
 
Ameshainunua, ni ule mnada wa kibabe sana, ukaleta mgogoro wa kifamilia kwa marehemu Mrema, na Makonda ni kazi maalum kusimamia "kuongeza vyumba" kama anavyojitapa kila mahali, bado na hotel yetu mpya kule Karatu.

Ngurdoto nayo bado hiviiii tu.

Ndio maana nilisema wana Arusha wawe na uvumilivu, jamaa atakuwepo kusimamia miradi.

Kuna mtu alimuelewa January aliposema AICC wamefuta mradi wa kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano Arusha, ahahaaa, utagongana na uwekezaji wa wanene
 
Na nani? CCM wana mfumo wa kulindana, la sivyo Jiwe angetaifisha mali nyingi sana, kumbuka wakina Makapa walijiuzia hadi Mgodi, kama Jiwe hakutaifisha mali hata moja ya Kiongozi wa CCM basi hakuna mwingine atakaye weza fanya.
Jiwe alikataa kabisa kufukua makaburi!
 
Huyo dogo kapataje Hela hizo ndani ya miaka mitatu tu? Hyatt regency,Serena.seaclif,Impala ngurudoto na hiyo sjui Nini zote kazinunua ndani ya miaka mitatu tu?Abdul ameula
 
Wacha wanunue tu kile kinachowekwa sokoni. Ila waache sehemu zetu tutakapojengewa nyumba zetu za milele.
 
Ukweli ni kwamba kioindi cha magufuri familia yake haikuwa inaiba Mali za umma lakini wakati WA mama Samia familia yake inajihusisha na kuiba Mali za umma.WAO WAMEJIUZIA KISIWA CHA MAFIA AMBACHO DR SILAA KARIPORT KUWA KIMEUZWA KWA MWEKEZAJI
Naweza pata wapi hizi taarifa za kisiwa kuuzwa au kukodishwa Kwa mwekezaji , za Dr Silaa au za Sirikali
 
Mkuu shida ni sisi raia hatuchukui maamuzi magumu sana
 
Aiseee hii hatari sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…