Kwanza mwandishi kichwa cha thread kimenipa utata,inaonesha wewe ni shabiki wa yanga,unaonaje kama hyo tittle labda ingekuwa katika muundo huu!"je adhabu aliyopewa mwamuzi Sanya ni sahihi?"
Mimi nitaanzia hapo kwenye hiyo tittle nilioipendekeza mwenyewe.Mwamuzi ni binadamu na makosa hayaepukiki katika utendaji wa majukumu yake ukizingatia tensheni kubwa ya mechi ilivyokuwa,sioni ni sabau gani TFF wameamua kumfungia mwamuzi Yule mwaka mmoja mbona waamuzi weng wa Tanzania ndio type zile zile,je watawafungia wangapi?najua hili limefanywa kwa kuwa victim wa mapungufu yale ni Yanga ambao ndio wanaihodhi TFF na hilo halina ubishi.
I feel sorry for the referees,soka la bongo kichefuchefu.....