Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau yule refa aliyechezesha mechi ya yanga na coastal amefungiwa kuchezesha kwa muda wa mwaka 1, adhabu hii inatosha?
Mwache akae kijiweni huo mwaka tuone kama atakula hzo pesa alizopewa na Bin Slum na Cmba
Hahahaah! Kwani China hapa?Ilitakiwa anyongwe.
Maana alihatalisha maisha!
yule mwamuzi ni mwajiriwa wa jeshi la magereza hawez kufa njaa kwa kukosa hela mbuzi wanazopewa na TFF.