Je!, adhabu aliyopewa refa Martin Sanya INAMTOSHA?

Je!, adhabu aliyopewa refa Martin Sanya INAMTOSHA?

wanaihonga ni simba na yanga na si wengine.wakifungwa hukosi visingizio.
 
Mkuu taamu hata timu za AZAM na COASTAL zimeingia katika mchezo huo na ndo maana Eddo kumwembe alisema lazima kushinda.
 
Last edited by a moderator:
bado nasisitiza kiwa tufikiri zaidi ya kufikiri kama refa kagundulika kuwa na hatia je tff hana hatia? kwa nini tff hakuazibiwa badala yake timu ndiyo inaazibiwa? bila tff kuadhibiwa hawatajuaakosa yao
 
Back
Top Bottom