Mussa Ramadhani Mussa
Member
- Jul 30, 2024
- 5
- 13
Kisheria inabidi itoshe, lakini nchi hii mnaijua wenyeweKwa mfano jina langu katika NIDA ni Mussa Ramadhani Mussa ila kwenye vyeti vyangu vya taaluma ni Mussa Ramadhani.
Nimesikia kuwa naweza kupata affidavit na nikafanikiwa.
Je, kuna ukweli katika hili?
Naomba ufafanuzi kwa yeyote ajuaye wakuu.
Nawasilisha!🙏
kwanza unachanganya kati ya avidavit na deedpoll kinachokibalika sio avidavit maana avidaviti haisajiliwi wizara ya ardhi, kinachotakiwa ni deedpoll sio avidavitKwa mfano jina langu katika NIDA ni Mussa Ramadhani Mussa ila kwenye vyeti vyangu vya taaluma ni Mussa Ramadhani.
Nimesikia kuwa naweza kupata affidavit na nikafanikiwa.
Je, kuna ukweli katika hili?
Naomba ufafanuzi kwa yeyote ajuaye wakuu.
Nawasilisha!🙏
Mimi shida yangu sio kubadili jina maana majina yangu yote ni sahihi, ishu ilikuwa ni kuthibitisha tu kuwa jina la tatu ni la kwangu piakwanza unachanganya kati ya avidavit na deedpoll kinachokibalika sio avidavit maana avidaviti haisajiliwi wizara ya ardhi, kinachotakiwa ni deedpoll sio avidavit
nani kakwambia deedpoll ni kubadili jina mimi vyeti vyangu vinamajina mawili nilipoajiriwa ilibidi nichukur deedpol kuongeza jina la tatu lililopo kwenye kitambulisho deedpoll ndio inatambulika kisheria kwenye marekebisho ya majina sio avidavit wakuu mnapotokaMimi shida yangu sio kubadili jina maana majina yangu yote ni sahihi, ishu ilikuwa ni kuthibitisha tu kuwa jina la tatu ni la kwangu pia
Mtafute mwanasheria akuandikie kiapo cha majina cha kukiri jina la tatu ni lakoMimi shida yangu sio kubadili jina maana majina yangu yote ni sahihi, ishu ilikuwa ni kuthibitisha tu kuwa jina la tatu ni la kwangu pia
Nikuulize swali kidogo, eti kwa nini deedpoll inasajiliwa wizara ya ardhi hali ya kuwa ni majina tu sio ardhi?kwanza unachanganya kati ya avidavit na deedpoll kinachokibalika sio avidavit maana avidaviti haisajiliwi wizara ya ardhi, kinachotakiwa ni deedpoll sio avidavit
msajili wa hati na document yoyote kisheria yupo wizara ya ardhi, so iwe hati ya kiwanja ,iwe kusjili majina , iwe kusajili sijui document gani ni wizara ya ardhi sasa wewe jidanganye kachukue iyo avidavit yako kwa mwanasheria kama itatambulika watu wanataka wakiingia kwenye mafaili wakute kweli ulibadili au uliongeza jina na mafail yapo kwa msajili wizara ya ardhi iyo avidavit inaishia kwa mwanasheria uchochoroniNikuulize swali kidogo, eti kwa nini deedpoll inasajiliwa wizara ya ardhi hali ya kuwa ni majina tu sio ardhi?
wabongo mnakua wabishi kuelewa icho kiapo kinaifadhiwa wap kama sio kuishia tu kwa mwanasheria, mwambie akachukue deedpoll kwa msajili wa hati na document wizara ya ardhiMtafute mwanasheria akuandikie kiapo cha majina cha kukiri jina la tatu ni lako
Majina yangu ni kama yako, hamna tatizo lolote.Mimi shida yangu sio kubadili jina maana majina yangu yote ni sahihi, ishu ilikuwa ni kuthibitisha tu kuwa jina la tatu ni la kwangu pia
Kwamba mwajiri alikuambia uongeze jinala tatu?na
nani kakwambia deedpoll ni kubadili jina mimi vyeti vyangu vinamajina mawili nilipoajiriwa ilibidi nichukur deedpol kuongeza jina la tatu lililopo kwenye kitambulisho deedpoll ndio inatambulika kisheria kwenye marekebisho ya majina sio avidavit wakuu mnapotoka
wewe ni muajiriwa serikalini au unaongea tu vyeti vyangu vina majina mawili vitambulisho na cheti cha kuzaliwa ni majina matatu ivyo unachukua deedpol kuonyesha ulikua unaitwa john nguya jina la vyeti ila sasa ivi unaitwa jonh nguya adam jina la kitambulisho na cheti cha kuzaliawa angalizo vyeti vikiwa majina mawili kitambulisho matatu hao ni watu wawili tofauti chukua deedpoll haraka usije kujilaum acha ubishi wa apo hamna tatizo wakati unaona kabisa vyeti mawili kitambulisho matatuKwamba mwajiri alikuambia uongeze jinala tatu?AA
Mbona wengine hatukuambiwa hivyo.
Watu wengi wana majina 3 kwenye cheti cha kuzaliwa, na cheti cha kuzaliwa ndio kinatumika kwenye kuniandikisha NIDA ambapo NIDA watatoa majina 3 kama yalivyo kwenye Cheti cha kuzaliwa.
Mfano:
Kwenye vyeti vya shule, chuo ni Bundi Ngedere
Kwenye cheti cha kuzaliwa, na NIDA ni Bundi Ngedere Sgr
Hapo hamna tatizo lolote, tatizo litakuka endapo kutakuwa na tofauti za herufi first na second name, mf Vyeti vya Shule, Chuo ni Bund Ngedere halafu cha kuzaliwa na NIDA ikawa Bundi Ngedere Sgr. Hapa patakuwa na utofauti sababu ya kukosekana herufi (i) kwenye jina la kwanza la vyeti vya shule, chuo.
Hapo ndipo itatakiwa hiyo deedpoll
Mkuu unabisha sana, ila siwezi kukusikiliza sababu sijapata kikwazo chochote jinsi unavyodai wewe, endapo nikipata hicho kikwazo nitafanya hivyo.wewe
wewe ni muajiriwa serikalini au unaongea tu vyeti vyangu vina majina mawili vitambulisho na cheti cha kuzaliwa ni majina matatu ivyo unachukua deedpol kuonyesha ulikua unaitwa john nguya jina la vyeti ila sasa ivi unaitwa jonh nguya adam jina la kitambulisho na cheti cha kuzaliawa angalizo vyeti vikiwa majina mawili kitambulisho matatu hao ni watu wawili tofauti chukua deedpoll haraka usije kujilaum acha ubishi wa apo hamna tatizo wakati unaona kabisa vyeti mawili kitambulisho matatu
Mdau Hivi mfano mimi Katika NIDA naitwa NGEDERE HAMADI NYANI ila katika vyeti vya form4 na chuo naitwawewe
wewe ni muajiriwa serikalini au unaongea tu vyeti vyangu vina majina mawili vitambulisho na cheti cha kuzaliwa ni majina matatu ivyo unachukua deedpol kuonyesha ulikua unaitwa john nguya jina la vyeti ila sasa ivi unaitwa jonh nguya adam jina la kitambulisho na cheti cha kuzaliawa angalizo vyeti vikiwa majina mawili kitambulisho matatu hao ni watu wawili tofauti chukua deedpoll haraka usije kujilaum acha ubishi wa apo hamna tatizo wakati unaona kabisa vyeti mawili kitambulisho matatu
Mdau Hivi mfano mimi Katika NIDA naitwa NGEDERE HAMADI NYANI ila katika vyeti vya form4 na chuo naitwakwanza unachanganya kati ya avidavit na deedpoll kinachokibalika sio avidavit maana avidaviti haisajiliwi wizara ya ardhi, kinachotakiwa ni deedpoll sio avidavit
Daaaaaaah nimejisikia Vibaya Kuona comment yako Bro. Ni Chuo gani hicho kinachotoa Cheti Kwa Majina mawili?Mkuu unabisha sana, ila siwezi kukusikiliza sababu sijapata kikwazo chochote jinsi unavyodai wewe, endapo nikipata hicho kikwazo nitafanya hivyo.
Majina yangu mawili yasomeka kwenye vyeti vya Sekondari(Olevel, Alevel), Chuo, Leseni ya Kitaaluma.
Majina matatu yanasomeka kwenye Cheti cha kuzaliwa na NIDA pekee.
Nipo Serikalini na sijawahi kuambiwa nithibitishe kuhusu jina la tatu.
NIDA imetiliwa mkazo kutumika kama utambulisho miaka ya hivi karibuni, watu walioingia Serikalini kabla ya 2015, wengi wao walikuwa na majina mawili na hawana tatizo hadi sasa.
MUHAS.Daaaaaaah nimejisikia Vibaya Kuona comment yako Bro. Ni Chuo gani hicho kinachotoa Cheti Kwa Majina mawili?