MUHAS.
Majima mawili nimeanza nayo form four, wakati naomba boom matokeo/cheti cha form 4 kilitumika(chenye majina 2).
Wakati na apply chuo(TCU enzi hizo), cheti cha form 4 kilitumika, majina 2 yakatumika.
Nilipopata nafasi kwenda Chuo, walinisajili kwa majina 2 kama waliyoyapokea kutoka TCU baada ya kupangiwa chuo na TCU.
Cheti cha kuzaliwa pia kilitumika kwenye stage zote hizo lakini hawakuongeza surname inayoonekana kwenye cheti cha kuzaliwa, walistick kwenye majina mawili.
Chuo baada ya kuni admit wakabaki na majina mawili hivyo hivyo, na waliokuwa na majina 3 nao waliendelea hivyo hivyo.
Majina 3 nayatumia kwa sasa nikiwa kwa mwajiri na sijaona changamoto yeyote.
Swali: Kumbe kuna vyuo vinakataa majina 2 kwa siku ? hili linaweza kuwa kweli sababu ya mfumo wa NIDA ambao unatambua majina 3 na NIDA inatumika sana siku hizih