Je, Affidavit inatosha katika maombi ya ajira kwa wenye changamoto ya majina mawili?

Hakuna chuo kinakataa majina mawili kama hyo majina ndo yapo kwenye cheti chako. Au vyeti vyko vingne
 
Daaaaaaah nimejisikia Vibaya Kuona comment yako Bro. Ni Chuo gani hicho kinachotoa Cheti Kwa Majina mawili?
Ndugu unatakiwa ujielimishe mwenyewe usiwe mbishi. Vyuo vyote taarifa zake zinabase kwenye vyeti vyako vya mwanzo ulivyonavyo. Labda kama wewe ulijichanganya kwenye usajili. Kama cheti au vyeti vya mwanzo vina majina mawili watatumia majina mawili.. kama vyeti/cheti kina majina matatu watatumia matatu.
 
Usitake tuanze kubisha kuna Chuo Cheti cha NTA Level 8 ni lazima kiwe na Majina matatu haijarishi ilikuwa hakuna au ulikuwa na initial hawatoi cheti Bila Majina matatu yaliyokamilika. Ndy maana kabla ya Graduation wanatoa muda wa kupeleka DEED POLL au Nyaraka za kiserikali silizokubalika kutoa utambulisho wa Mtu km Passport ya Kusafiri, TIN Certificate , NIDA lkn sio Cha Mpiga Kura nje na hapo utagraduate mwakani Majina mawili hawatoi cheti
 
Chuo nilichosoma kusoma na Majina mawili ni Ruksa lkn kuhitimu lzm yawepo yote Matatu
 
Watakufanyia wewe freshers. Ushwah kujiuliza mtu form four Ana tumia majina mawili, form six majina mawili, diploma majina mawili halfu akifika chuo kikuu alazimishwe majina matatu?? Hio level 8 ina uspecial gani. Labda kama mwanafunzi atake mwenyewe.

Historia ya majina mawili au matatu haimuliwi na wewe au chuo ni kutokana na nyarakq zako. Leo wakukubali kukusajili ukiwa na majina mawili halfu wakati wa kumaliza wakulazimishe..??si wangekukataa toka mwanzo??
 
Chuo nilichosoma kusoma na Majina mawili ni Ruksa lkn kuhitimu lzm yawepo yote Matatu
Bila shaka ni chuo cha kati hicho.

Hii case sijawahi kuisikia kwenye vyuo vikubwa
 
Hivi lkn unajua umuhimu wa Majina 3
 
Bila shaka ni chuo cha kati hicho.

Hii case sijawahi kuisikia kwenye vyuo vikubwa
Hiv Chuo cha Kati ndy Chuo cha haina gani wkt hapo nishasema NTA Level 8 ni Chuo gan cha Kati kinatoa hiyo Level
 
Wakuu mm jina langu la Kat kwenye vyeti vya shule yaan form four,na form six wamefupisha na kwenye nida yapo yote..mfano vyet vya shule James j wambura....na nida James junior wambura ....vipi apo kwenye mifumo ya ajira aitanileta shida
 
Ni kweli ipo hivyo but as a lawyer naona ipo wrong sana. Ilifaa RITA ndo ihusike issue ya kubadili jina.
 
Cheti cha kuzaliwa kikiwa kinasoma Johnpaul Anthony Mafwele

Halafu vyeti vya taaluma na Nida vikawa vinasoma John Anthony Mafwele. Ni tatizo?
 
Wakuu mm jina langu la Kat kwenye vyeti vya shule yaan form four,na form six wamefupisha na kwenye nida yapo yote..mfano vyet vya shule James j wambura....na nida James junior wambura ....vipi apo kwenye mifumo ya ajira aitanileta shida
Ukipata jibu na mm Nina changamoto hii
 
Mkuu achana nao awa ni Watoto wa 2000. Awawezi kuelewa kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…