Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,386
- 5,325
Sawa msalitiBUKU SABA siku hizi hawatoi mkuu
ukipata bando litumie vizuri, coment vitu vinavyohusiana na topic husika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa msalitiBUKU SABA siku hizi hawatoi mkuu
ukipata bando litumie vizuri, coment vitu vinavyohusiana na topic husika
Seth na Ruge hapana,321b wafutiwe kesi?
Sijui shida ni nini kama watu waliitwa tumbiri na mizigo ilivyogawanywa kumbukumbu zipo.Miaka mitano hawahukumiwi.. nini shida??
Wale ni wahanga wa chuki na ujangili wa bwana yule naona kale kamgao kalimpitia mbali akaamua kulazimisha unyang'anyi na ndio maana Ruge alikataa kukiri makosa. Mwenye ishu no Seth sio RugeSeth na Ruge hapana,321b wafutiwe kesi?
Umemstukia ameandika mambo mengi ila ni hewaBUKU SABA siku hizi hawatoi mkuu
ukipata bando litumie vizuri, coment vitu vinavyohusiana na topic husika
Habari JF,
Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali
Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza
Itakumbukwa, awamu iliyopita watu wengi hususani wakosoaji wa serkali walibambikiwa kesi nyingi zisizo na msingi wala faida kwa serkali, watu walishutumiwa kwa uhujumu uchumi, uchochezi na utakatishaji pesa pasipo kuwa na ukweli wa makosa hayo
Ewe kamshina wa PCCB na DPP mnasubiri nini kutekeleza agizo la rais wa watanzania?
Ewe Waziri Mkuu mwenye majukumu ya kuhakikisha maagizo ya rais yanatekelezwa unasubiri nini kuona hili linatimizwa?
Kwani zipo kweli za kufutwa ?Mbona haraka namna hiyo?? Nadhani kuna taratibu za kufuata kabla ya kufuta kesi na sidhani kama ni za kuchukua muda mfupi namna hii.....
Piga chini kesi ya uamsho,Seth na Ruge.
Sijaelewa hoja yako Ni Nini;Hapo kwa uamusho nakuhakikishia mpaka anatoka madarakani haitafutwa. Hawa waliwekwa ndani kipindi cha JK na si JPM.
Warejeshe hizo pesa wataachiwa.Ushahidi unatosha?Kama ushahidi upo mbona wanavuta miguu muda wote huo?
Hata wiki haijaisha. Mkuu, analysis zinatakiwa zifanyike zaidi. Sio kukurupuka huku unakofikiria.Habari JF,
Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali
Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza
Itakumbukwa, awamu iliyopita watu wengi hususani wakosoaji wa serkali walibambikiwa kesi nyingi zisizo na msingi wala faida kwa serkali, watu walishutumiwa kwa uhujumu uchumi, uchochezi na utakatishaji pesa pasipo kuwa na ukweli wa makosa hayo
Ewe kamshina wa PCCB na DPP mnasubiri nini kutekeleza agizo la rais wa watanzania?
Ewe Waziri Mkuu mwenye majukumu ya kuhakikisha maagizo ya rais yanatekelezwa unasubiri nini kuona hili linatimizwa?
Zipo nyingi sana.Kwani zipo kweli za kufutwa ?
wajinga wenzio waweza sema hivyo.wanasema rais NI MWANAMKE TENA DHAIFU SANAA.
Wewe ni nani uwapangie majukumu huoni ni kipindi cha kwaresma?Habari JF,
Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali
Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza
Itakumbukwa, awamu iliyopita watu wengi hususani wakosoaji wa serkali walibambikiwa kesi nyingi zisizo na msingi wala faida kwa serkali, watu walishutumiwa kwa uhujumu uchumi, uchochezi na utakatishaji pesa pasipo kuwa na ukweli wa makosa hayo
Ewe kamshina wa PCCB na DPP mnasubiri nini kutekeleza agizo la rais wa watanzania?
Ewe Waziri Mkuu mwenye majukumu ya kuhakikisha maagizo ya rais yanatekelezwa unasubiri nini kuona hili linatimizwa?
zile hela walizokuwa wanagawa kwenye viroba mpaka watu wakaita mil 10 hela ya mboga ni za kwao? mbona waliogaiwa walirudisha. watz mbona mnasahau harakaUshahidi unatosha?Kama ushahidi upo mbona wanavuta miguu muda wote huo?
Sijaelewa hoja yako Ni Nini;
Hata Kama Ni kipindi Cha JK kwani kopindi chake yeye hakuwezi kuwa na makosa?, Pili Ni kwamba mwenye power kwa Sasa Ni Mama Samia (na ameonesha dhamira ya kusimamia haki) na si JK Tena....swali la msingi Ni je ushahidi unatosheleza kuwaimplicate na makosa hayo,na Kama unatosheleza why all that time?kwanini hukumu haitoki? Kama hakuna ushahidi ndipo Mama anapomuhimiza DPP afanye Jambo.
Kumbuka hizi Ni zama zingine na nabii Ni mwingine usishangae kitabu kikawa kingine.
Mfano mdogo kwani Babu Seya si alifungwa kipindi Cha JK? Si ameachiwa na JK si alikuwepo?
Fedha hizo siyo za serikali hivyo kesi haina maslahi ya serikali. Walizikwiba?Seth na Ruge hapana,321b wafutiwe kesi?