Je AI inaweza kupunguza au kuondoa kabsa ajira kwa web developers?

Je AI inaweza kupunguza au kuondoa kabsa ajira kwa web developers?

AlphaMale_

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2023
Posts
246
Reaction score
552
Niaje wadau kwa hali ya sasa maendeleo ya tech ni makubw san kama una weza design blog au web kwa kutumia Ai ,do you think guys kaz za web designers zitakuwa hatarin?
 
Haiwezekani in short clip ils itasaidia kurahisisha kazi TU 🙃 kwa ma developers kutoka kutumia mwezi kuwa siku chache
 
Inapunguza na itapunguza sana idadi maana ufanisi unaongezeka sana mtu mmoja atabebeshwa kazi ya watu watatu, kumuondoa kabisa hiyo ngumu zaidi maana bado unahitaji operator anayejua kufanya kitu ili AI iende vizuri, wengi wanasema tutafika ila ni mbwembe/hype za marketing nadhani.
 
Back
Top Bottom