Inapunguza na itapunguza sana idadi maana ufanisi unaongezeka sana mtu mmoja atabebeshwa kazi ya watu watatu, kumuondoa kabisa hiyo ngumu zaidi maana bado unahitaji operator anayejua kufanya kitu ili AI iende vizuri, wengi wanasema tutafika ila ni mbwembe/hype za marketing nadhani.