Je aina hii ya swala wanapatikana Tanzania?

Je aina hii ya swala wanapatikana Tanzania?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Hawa Swala wakubwa kama Ng'ombe Kudu na Sable Antelopes wanapatikana kwenye mbuga zetu?

Mimi nawaonaga tu wanapatikana Zambia, Namibia, Botswana n Sauz huko.

Website_SpeciesPage_Kudu03_02_Solutions.jpg
sable-antelope-south-africa-aka-260nw-1755288713.jpg
 
Hao wa juu wapo sijajua kama hao wa chini ni kama wa juu au nao aina nyingine.
 
Hawa Swala wakubwa kama Ng'ombe Kudu na Sable Antelopes wanapatikana kwenye mbuga zetu?

Mimi nawaonaga tu wanapatikana Zambia, Namibia, Botswana n Sauz huko.

View attachment 2458697View attachment 2458698
Hao wa juu ni Kudu (kiswahili Tandala) wapo wengi sana kwenye mbuga zetu. Mostly walikuwa wanawindwa kwaajili ya pembe (trophy hunting) hao wachini ni Sable Antelope (kiswahili mbarapi au palahala) nao tunao kibao.
 
Inasemekana walikuwepo ila viongozi wa ccm wamewapandisha ndege wote kuwapeleka kusikojulikana
 
Thomson Gazel wapo serengeti ila population yao inakuwa dimished yaani inaelekea Tamati
 
Wewe sema tu huyo wa juu inanipa shingapi naleta mpaka mlangoni
 
Mleta mada tambua hili, ukiacha jangwa la kalahari nchi karibia zote zilizopo kusini mwa ikweta( yaani tropic ya kaprikoni) km. Vile Tanzania, Zambia, Msumbiji, Zimbabwe, Botswana, Eswatini, baadhi ya nyika za afrika ya kusini na Malawi hali zake hufanana hasa ikolojia yake. Hao wanyama uliowataja wapo wengi sana hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi tajwa hapo ju
 
Mkuu Saguda mtu wangu nashukuru kwa mchango wako. Ila naonaga wengi kwetu ni Impala, Thompson na dik dik. Na tofauti kati ya Gazelle na Antelope ni ipi?
 
Kaa Kwa Kutulia Tanzania Wapo Wengi Sana, Kuna Taarifa Dege La Kubeba Wanyama Lipo KIA
 
Back
Top Bottom