wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Dec 26, 2022 #21 Stress Challenger said: Mimi Mbona naonaga tu impala, Thompsom na dik dik Click to expand... Chalaa angu hao wote wako wakutosha hata Kule meru arifu,Hahah.Happy holiday mzee
Stress Challenger said: Mimi Mbona naonaga tu impala, Thompsom na dik dik Click to expand... Chalaa angu hao wote wako wakutosha hata Kule meru arifu,Hahah.Happy holiday mzee
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Dec 26, 2022 Thread starter #22 wa kupuliza said: Chalaa angu hao wote wako wakutosha hata Kule meru arifu,Hahah.Happy holiday mzee Click to expand... Arif mimi nawaonaga tu dik dik. Hahaha happy holidays to you too
wa kupuliza said: Chalaa angu hao wote wako wakutosha hata Kule meru arifu,Hahah.Happy holiday mzee Click to expand... Arif mimi nawaonaga tu dik dik. Hahaha happy holidays to you too
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Dec 26, 2022 #23 Stress Challenger said: Arif mimi nawaonaga tu dik dik. Hahaha happy holidays to you too Click to expand... Hahah asante kamanda.
Stress Challenger said: Arif mimi nawaonaga tu dik dik. Hahaha happy holidays to you too Click to expand... Hahah asante kamanda.
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,580 Reaction score 8,141 Dec 26, 2022 #24 Haaahaaa...hata Nako ranch wapo..achilia mbali mbuga za wanyama
RockBlockHolili Member Joined Sep 5, 2022 Posts 87 Reaction score 141 Jan 27, 2023 #25 kwa yeyote anayataka nyama pori anitafute tuna tandala swala na dikdik
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,719 Jan 27, 2023 #26 RockBlockHolili said: kwa yeyote anayataka nyama pori anitafute tuna tandala swala na dikdik Click to expand... Unapatikana wapi,je una kibali cha kuwinda?ni mtumiaji sana wa nyama ya pori kuna bucha huwa nachukua ila sasa hivi wamedolola
RockBlockHolili said: kwa yeyote anayataka nyama pori anitafute tuna tandala swala na dikdik Click to expand... Unapatikana wapi,je una kibali cha kuwinda?ni mtumiaji sana wa nyama ya pori kuna bucha huwa nachukua ila sasa hivi wamedolola