Je, ajali ya kudondoka gorofa Kariakoo imetupa funzo lolote?

Je, ajali ya kudondoka gorofa Kariakoo imetupa funzo lolote?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Hii ajali imetupa majonzi makubwa

Ajali hii imetupa funzo kuanzia kwenye chanzo, Kwa maana ujenzi na mamlaka zake

Uwajibikaji, hapa nazungumzia vibali vya kujenga majengo marefu, Ya nazingatia vigezo

Wakati wa ajali,
Watu kujaa kwenye majengo

Uzembe wakati wa uokoaji
Uokoaji ulitumia siku 8 na takribani Watanzania 29 wakapoteza maisha na majeruhi wengi zaidi

Tumejifunza?
1. Kudhibiti ajali kabla haijatokea

2 kuwawajibisha watu walifanya uzembe kujenga jengo lisilo na vigezo na kuruhusu litumike au tutawalea hawa wazembe

3. Kujiandaa Kwa majanga hasa vifaa vya kisasa vya kufanya uokoaji

Kuna baadhi ya ajali zilizotokea za kuzama vyombo vya majini na watu wakafa Kwa uzembe na hali kama hiyo ikajirudia Kwa ajali zilizofuata

Hii ajali ya kariakoo iwe funzo Kwa serikali na raia wote
 
Back
Top Bottom