Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

mbowe ana biashara ya mahotel haitaji vijisenti unaijua machame protea hotel ni five star ile au nasema uongo ndugu zanguuuuuu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama ajira bado ipo si amfanyie mpango tu, maana sasa hv yuko kijiweni, muda mwafaka kabisa.
 

Mbowe hana utimamu
 
walikwenda nairobi wanawake wawili mdee na shoga yake kwa nini amtafutei kazi mdee tu na huyu mwingine hakutafutiwa huu ni uongo 2) je ukiisha mpa kazi mdee ina maana wale 18 wabunge waliobaki hawaathiri chadema aliyekuawa anamadhara kwa chadema ni mdee tu?
 
C angemtafutia mwanae James
 
Sultan Mbowe ni shida
 
Yaani makapi ya kayafa bado tu hayajaisha kuungua !!
 
Je magufuli hakumkomoa Mbowe na CDM??kwa nini Nusrat hanje atoke jela usiku,aapishwe asubuhi???magu bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mm nimesoma na zitto hata suti ya kwanza alimnunulia mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…