Je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK?

Duh...maisha haya...wizi wa hali ya juu sana huu
Hatar tena nilisahau yule anarudisha zaid zaid ya 12m
Maana iko hiv.
Slary slip yake inaonyesha makato ya mwezi ni 271,000/=
Kwa mwaka mmoja 271000x12= 3,252,000/=
Kwa miaka mitano 3,252,000x5= 16,260,000/=
Hapo hiyo 7m alochukua bado hak9upewa yote kuna kitu sijui wanaita nn wakamkata asilimia kadhaa..
Nikamuonea huruma sanaa.
I saw the slip myaelf
 


Nadhan ndo processing fee! Hatari sana sheikh..mie napambana na vibubu tu😉
 
Ahahahqh.Ahsante kwa kututia moyo kana kwamba na ww unahusika!!...
Tena nilikua napanga nikupige kizinga ujue..sijaomba siku nyingi nahis km asili yangu ya uanamke inapotea!..raha ya mwanamke kupewa hela..tusipopewa tunajihisi kupwaya najihis kupwaya mnoo(rejea maongezi yetu ya week ilopita😉)uamini nisemayo!
Airtel inapokea na halotel pia as well😊!
 
Ahahaha..utanifanya nikavunje bank za watu usiku huu ujue?!
 
[emoji1787][emoji1787]!...sina huo mpango...! Dah ...hawafiki kwa TPB
Hahahaaa, TPB hawafui dafu, unajua loan officers wa Access wanalipwa mshahara fixed kidogo+commissions,

commissions wanapata kwa kufanikisha kukopesha na kudai madeni.

Nimewahi kufanya kazi hii aisee, tulikuwa tunadai sana....Tunaenda sana majumbani kwa wateja, yani hadi wanakosa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinikumbushe nlikopa nmb mil 7 afu nirudishe mil13....sema ndo hivo nlikua nna shida ya kufa mtu....ila naomba sana nsipate shida nikarud tuna kwenye mabenk niishie hukuhuku saccos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…