Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Na je Israel ilijuaje lini na wapi pa kumtoa Mohammed Sinwar na viongozi wengi waandamizi waliobaki wa Hamas?
Unakumbuka siku kadhaa zilizopita wakati watu wawili kwenye picha hapo chini walipojisalimisha kwa majeshi ya Israel kusini mwa Gaza? Hapo ndipo msemo wa Samaki kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!!!!
Mmoja alikuwa kamanda katika "Rafah Brigade" ya Hamas na aliripotiwa kutoa taarifa za kijasusi ambazo IDF ilihitaji kugonga kwa usahihi kituo cha chini cha amri na udhibiti kilichoko chini ya hospitali ya Ulaya huko Khan Yunis.