Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Kuna jamaa yangu amemaliza Diploma ya IT 2012 huko Iringa, amehangaika na maisha huko mwaka huu ananiambia mwaka ujao anataka kuingia Bachelor ya kozi fulani nje ya IT pale Iringa University Je akiomba mkopo Bodi ya mikopo mwaka ujao anaweza kupata? Wazoefu njooni mtupe uzoefu afuatilie