Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
 
Msikasirike mapambano yaendelee team neutral tupate kucheka kodogo
 
Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
Ipo.
Simba ilishawahi kuifunga Yanga goli tano, na video tunayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…