hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
HahaaNakuachia haka kamstari kwenye track ya Ngosha.
Kuna wasanii wanafanya track hadi mwenyewe unaona aibu...track mbovu mbovu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaNakuachia haka kamstari kwenye track ya Ngosha.
Kuna wasanii wanafanya track hadi mwenyewe unaona aibu...track mbovu mbovu...
Watanzania Huwa tuna chuki za ajabu sana Mkuu!Hivi kuna msanii ambaye hajawahi kutumika.. hao WCB mbona na wao wametumika sana mpaka kuwa hapo walipo leo" Mtoa mada hata raisi wa nchi huwa anawekwa madarakani na kundi la watu wajanja " kwaajili yakuwatumikia" na kulinda maslahi yao'... kwa hiyo kama AK anatumika hilo lisikutishe ndio destruri ya Maisha ilivyo" kila boss ana boss wake....
though mbona Hizi content za kuwaaminisha watu kuwa clouds imepoteza mvuto zimezidi sana mitandaoni "... nani ambaye amewatuma mfanye hiyo kampeni""?? .... kiuhalisia mbona sisi tunaona kabisa kuwa influence ya clouds bado iko pale pale".... ila ni ukweli uliowazi sasa hivi wana kabiliwa na changamoto ya hilo tamasha lao".. toka EFM ambao nao wanafanya matamasha nchini ...
Mkuu bongo " ukifanikiwa tu ".. tayari unakuwa adui wa masikini .. watu wa taifa hili tunashida sana AiseeWatanzania Huwa tuna chuki za ajabu sana Mkuu!
Wanasema imepoteza mvuto wakati matangazo ya biashara ndo yqnazidi kutiririka!
Ukimuuliza ametumia kigezo kipi kusema imepoteza mvuto anabaki kuweweseka Na kuhisi Wewe ni mfanyakazi wa clouds!
Juzi nilikuwa Moro Fiesta ilikuwa nyomi ya kufa mtu, sijui umetumia vigezo gani kusema imedoda...Wewe wenzako wanafanya biashara upo hapa unacomment ili iweje? Inakusaidia nini kucomment hapa wakati wenzako hizo show ndizo zinazowaingizia pesa? Au nawewe ukicomment kuhusu fiesta unaingiza pesa? Acha kujifanya mjuaji mkuu hili ni jukwaa husika "a proper forum" kwa mambo haya.
Msisahau na hapaMkuu bongo " ukifanikiwa tu ".. tayari unakuwa adui wa masikini .. watu wa taifa hili tunashida sana Aisee