KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
Tangu lini wakristo tumeanza ujinga huu wa kuhisi Yesu kadhalilishwa?
Kumbe omondi ni muislam nilikuwa sijuiTofautisheni kejeli na kuigiza, huyo amekejeli dini ya watu, sema wa kristo huwa tunakuwaga na mazoea ya ajab ajab kwenye dini yetu, wakati wenzetu waislam jaribu hata kuwa tania kidogo kuhusu dini yao uone, na kwa hilo nawapongeza, we must respect our entity tuache jokes na Yesu Kristo hebu tujifunze kwa wenzetu kuheshim tunacho kiamini.
Omondi alikosea sana
Kosa ni nini?Kosa.kwenye huo ujumbe hapo juu.mwizi forgiven
Yanadhihaki nini?Yale maneno yaliyowekwa juu ya msalaba yanadhihaki. Sio mazuri kabisa
HABARINI! TOKA jana kwenye mitandao ya kijamii Mchekeshaji Erick Omond amejiwa juu na baadhi ya watu kwa kile Alicho Fanya na kuleta mvutano mkubwa sana katika Imani!
Mimi ni mkristo,Lakini sijaona Kosa kwa kile Alichokifanya Erick Omondi! kabla ya Kuja kumuhukumu Erick Omond .....Tujiulize Je Erick Omond ni nani na anafanya nini? ERICK ni Mchekeshaji na anafikisha ujumbe kwa njia ya kuchekesha na kuimba!
Sasa kile alichokifanya ni moja ya uigizaji wake na Lengo lake ni kufikisha ujumbe! Jumbe ulifika tatizo liko wapi? Tujiulize Je mtu akiigiza kama Rais ni kweli anakuwa Rais? au mtu akiigiza Ana maambukizi je kweli anakuwa mayo?
Moja ya watu walio Kuja juu ni baraka De prince Lakini mm sioni kama ni sawa kumuhukumu Eric kwa Alicho fanyaView attachment 442376
Sasa Tujiulize wote Je Alicho Fanya Eric ni Sahihi? Kwangu mimi yupo sahihi
Hata Yesu ambaye ndiye msingi wa imani hii alitukanwa wazi kabisa na yule mwizi pale msalabani lakini hakujibu lolote. Tunaheshimu imani, sawa lakini hakuna funzo lolote katika maandiko linalotutaka kuwahukumu au kuwaumiza wale wanaokejeli imani tofauti na kwa wenzetu. Sisi kwetu tunaagizwa kumsamehe na kumuombea kila mtu. Kwani Mtume Paulo aliua watu wangapi wa Mungu na alisamehewa itakuwa huyu comedian ambaye hakumuumiza yeyote physically?Tofautisheni kejeli na kuigiza, huyo amekejeli dini ya watu, sema wa kristo huwa tunakuwaga na mazoea ya ajab ajab kwenye dini yetu, wakati wenzetu waislam jaribu hata kuwa tania kidogo kuhusu dini yao uone, na kwa hilo nawapongeza, we must respect our entity tuache jokes na Yesu Kristo hebu tujifunze kwa wenzetu kuheshim tunacho kiamini.
Omondi alikosea sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee bahati mbaya sijaishika sana biblia. Nilikuwa naisoma niingiapo katika kipindi dini. Na nilikuwa naingia kwa sababu maalum. Utanisamehe sana. Nilichokiona kwa Bwana Erick ndicho nilichofkiri, kumbe yeye alimaanisha mengine.
bible inatuasa kuwa tukae mbali na wenye mizaha. ni kwamba shetani now days mjanja sana anatrick nyingi za kuanza kupotosha maandiko au kuona maandiko ni kitu cha kawaida.Tofautisheni kejeli na kuigiza, huyo amekejeli dini ya watu, sema wa kristo huwa tunakuwaga na mazoea ya ajab ajab kwenye dini yetu, wakati wenzetu waislam jaribu hata kuwa tania kidogo kuhusu dini yao uone, na kwa hilo nawapongeza, we must respect our entity tuache jokes na Yesu Kristo hebu tujifunze kwa wenzetu kuheshim tunacho kiamini.
Omondi alikosea sana
kweli wewe uliwai tazama hiyo filamu? hakuwa na mwizi tena alisamehewa?Tatizo lipo hapo kwenye hiko kibao yeyote anaweza'fanya hivyo hata wewe unaweza ila hayo maandishi hapo yanakwaza...anamzungumzia nani wakristo tunajua aliyesulubiwa hivyo ni Yesu Kristo na hakuwekewa maandishi yenye maana hiyo huyo hayo kayatoa wapi au kayaweka kama nani?