Je alichofanyiwa Barbara sio ubaguzi wa rangi?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi

Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara?

Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
 
Yeye Barba ndiyo amewanyanyasa maafisa wa Club ya Simba kwa kuwanyima kadi zao za VVIP tena zenye majina yao na kuwapa watoto wake ambao sio maofisa wa club na kimsingi hawakua na sifa ya kuingia jukwaa maalumu la maofisa.

NB:
Jifunze kutofautisha mtu kuwa mweupe na mtu kuwa mzungu.
 
Kwa jibu hili kakoma
 
Kwa hiyo mlitaka aingie na watoto wake kwa mgongo wa VIP
 
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi

Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Mtoto wa kike anaonekana anapenda Ku trend kila siku haishi kufanya visa,km kabaguliwa arudi kwao basi
 
Hivi ni lini mtaacha kuwa watumwa wa wahindi? Unaonekana Kama mbwa kwao lakini huachi kujipendekeza.

Tumechoka kuongelea huu ungese.
 
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi

Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Muwe mnaelewa hakuzuiwa kuingia uwanjani, bali jukwaa la watu mashuhuri, na ni kutokana na kukiuka utaratibu uliowekwa.soka la nchi hii ni taka taka kabisa, leo namsikia mwenyekiti wa simba anasema kutokana na tukio hilo ni dhahiri TFF, wameshamuandaa bingwa, wao kama vipi wanaweza hama ligi!!zambia , congo dr, kote wanatakiwa!!!sasa tukio hilo na mtu kupewa ubingwa wapi na wapi?huyo lazima apigwe kitu kizito, tu.
 
Wanalazimisha kutoelewa. Pia Babra anajitaftia umaarufu tu. Ajitokeze kujibu tamko la tff. Wana Simba wanapenda sana siasa za soka
Muwe mnaelewa hakuzuiwa kuingia uwanjani, bali jukwaa la watu mashuhuri, na ni kutokana na kukiuka utaratibu uliowekwa.soka la nchi hii ni taka taka kabisa, leo namsikia mwenyekiti wa simba anasema kutokana na tukio hilo ni dhahiri TFF, wameshamuandaa bingwa, wao kama vipi wanaweza hama ligi!!zambia , congo dr, kote wanatakiwa!!!sasa tukio hilo na mtu kupewa ubingwa wapi na wapi?huyo lazima apigwe kitu kizito, tu.
 
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi

Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Yule si Muhindi
 
Mtu sio mtanzania halafu anataka kujitutumia kuliko wazawa hiyo haipo nchi yoyote kama unabisha nenda india ama
China kajitutumue tuone
Achana na India na China Mkuu... Anayebisha kuhusu haya unayosema aje Anishike Mkono Tushindane.
 
Yaani huyu Demu wenu amefanyiwa vyote unyanyasaji wa kijinsia pamoja na ubaguzi wa rangi,

Aendelee kutoa utumwa kwa mazezeta makolo wao huko kwenye timu yao ya wahindi na sio kwenye mpira wetu wa Tanzania
 
Yeye Barba ndiyo amewanyanyasa maafisa wa Club ya Simba kwa kuwanyima kadi zao za VVIP tena zenye majina yao na kuwapa watoto wake ambao sio maofisa wa club na kimsingi hawakua na sifa ya kuingia jukwaa maalumu la maofisa.

NB:
Jifunze kutofautisha mtu kuwa mweupe na mtu kuwa mzungu.
Kwa hiyo Barbara akae VIP na watoto wake wakakae huko changanyikeni? Usalama wa watoto nani ataangalia? Vipi haki ya watoto kuambatana na wazazi wao kwenda kwenye viwanja vya michezo? Magori nae vipi alikuwa na watoto?
Kwa kifupi tu kwamba hao bodi ya ligi walikuwa wanalipiza kisasi kwa kunyang'anywa tonge mdomoni la mabilioni ya GSM na Barbara kuwapeleka TFF kule CAF kuhusiana na hilo suala la mdhamini mwenza.
They were just settling scores.
 
club ya simba sio club ya familia, Babra angekata ticket za VIP akakae huko na familia yake.

Jukwaa la VVIP lilitengwa kwa ajili ya maofisa tu na ndiyo maana kadi zilikua na majina ya maofisa pekee na sio watoto.
 
Yeye Barba ndiyo amewanyanyasa maafisa wa Club ya Simba kwa kuwanyima kadi zao za VVIP tena zenye majina yao na kuwapa watoto wake ambao sio maofisa wa club na kimsingi hawakua na sifa ya kuingia jukwaa maalumu la maofisa.

NB:
Jifunze kutofautisha mtu kuwa mweupe na mtu kuwa mzungu.
Hadi useme hivyo ni afisa gani wa Simba aliyelalamika kunyimwa tiketi ?
Maafisa wa Simba ambao hawakutaka kwenda uwanjani wakamwachia Tiketi bvrbvr kwani ndiye aliyekabidhiwa.
Yeye akaamuwa kuenda na watoto wake.
Shida iko wapi hapo.

Kisa hapo ni bvrbvr kugomea matangazo ya GSM ilhali wamesaini mkataba na kimyakimya.

Hivi kama GSM anataka kudhamini vilabu kwanini vilabu hasa mhasimu wake Simba hakuvishirikisha?

Kwanini Watendaji wa Yanga wasaini kimyakimya huku TFF wakisisitiza kwa ukali ni mkataba kati ya TFF na GSM tu.

Yanga hata kuvaa nembo ya mdhamini yenye rangi nyekundu tu hawataki, vipi Simba avae Nembo ya Mdhamini wa Yanga ghafla bili kushirikishwa ?

TFF wameonesha kuwa na hasira sana kwa maamuzi ya Simba ya kuvalishwa Nembo ya Mdhamini wa Yanga GSM.

GSM naye hakutumia busara kutaka kuwalazimisha tu Simba wavae nembo yake bila kuwashirikisha.

Simba haitaki huo mkataba wa hila.
Timu zinazotaka kufadhiriwa na GSM na zivae hiyo Nembo na kupewa huo mgao lakini sio Simba.
 
Sheria inakataza timu yoyote kuwasiliana na mdhamini.
Udhamini wa GSM viongozi wengi wa Yanga ndio wahusika wa kusaini huo mkataba na TFF hadi msemaji wao anahudhuria matukio yote
Tunasubiri Yanga wafungiwe miezi mitatu.

Huo mkataba Yanga walitaka Simba watangaze Biashara zao na zao zikose soko.

Umewekwa kwa hila tu.

Ila kuhusu TFF kununa sina cha kusema. Mwenye macho haambiwi tazama.
Screenshot_20211213-095255.jpg
 
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi

Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Mashabiki wa Simba bana weupe sana kichwani tangu lini Babra akawa Mzungu?
 
Back
Top Bottom