Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Jukwa la VVIP ni kwa ajili ya maofisa waliopewa kadi tu.Hadi useme hivyo ni afisa gani wa Simba aliyelalamika kunyimwa tiketi ?
Maafisa wa Simba ambao hawakutaka kwenda uwanjani wakamwachia Tiketi bvrbvr kwani ndiye aliyekabidhiwa.
Yeye akaamuwa kuenda na watoto wake.
Shida iko wapi hapo.
Kisa hapo ni bvrbvr kugomea matangazo ya GSM ilhali wamesaini mkataba na kimyakimya.
Hivi kama GSM anataka kudhamini vilabu kwanini vilabu hasa mhasimu wake Simba hakuvishirikisha?
Kwanini Watendaji wa Yanga wasaini kimyakimya huku TFF wakisisitiza kwa ukali ni mkataba kati ya TFF na GSM tu.
Yanga hata kuvaa nembo ya mdhamini yenye rangi nyekundu tu hawataki, vipi Simba avae Nembo ya Mdhamini wa Yanga ghafla bili kushirikishwa ?
TFF wameonesha kuwa na hasira sana kwa maamuzi ya Simba ya kuvalishwa Nembo ya Mdhamini wa Yanga GSM.
GSM naye hakutumia busara kutaka kuwalazimisha tu Simba wavae nembo yake bila kuwashirikisha.
Simba haitaki huo mkataba wa hila.
Timu zinazotaka kufadhiriwa na GSM na zivae hiyo Nembo na kupewa huo mgao lakini sio Simba.
Hii sio harusi eti useme tu ukija na kadi ya bibi yako uitumie wewe kwa niaba yake mbaya zaidi dada enu alileta watoto ambao hawana sifa kabisa ya kuwepo jukwaa hilo la maofisa.
Lia-lia FC mnajitia aibu mnoo maana mmewekeza nguzvu zenu kwenye swala la babra kupanic na kususa kuingia uwanjani na swala la nembo ya Gsm while team yenu imetoboka.