mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kwa jibu hili kakomaYeye Barba ndiyo amewanyanyasa maafisa wa Club ya Simba kwa kuwanyima kadi zao za VVIP tena zenye majina yao na kuwapa watoto wake ambao sio maofisa wa club na kimsingi hawakua na sifa ya kuingia jukwaa maalumu la maofisa.
NB:
Jifunze kutofautisha mtu kuwa mweupe na mtu kuwa mzungu.
Mtoto wa kike anaonekana anapenda Ku trend kila siku haishi kufanya visa,km kabaguliwa arudi kwao basiAskari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi
Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Muwe mnaelewa hakuzuiwa kuingia uwanjani, bali jukwaa la watu mashuhuri, na ni kutokana na kukiuka utaratibu uliowekwa.soka la nchi hii ni taka taka kabisa, leo namsikia mwenyekiti wa simba anasema kutokana na tukio hilo ni dhahiri TFF, wameshamuandaa bingwa, wao kama vipi wanaweza hama ligi!!zambia , congo dr, kote wanatakiwa!!!sasa tukio hilo na mtu kupewa ubingwa wapi na wapi?huyo lazima apigwe kitu kizito, tu.Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi
Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Muwe mnaelewa hakuzuiwa kuingia uwanjani, bali jukwaa la watu mashuhuri, na ni kutokana na kukiuka utaratibu uliowekwa.soka la nchi hii ni taka taka kabisa, leo namsikia mwenyekiti wa simba anasema kutokana na tukio hilo ni dhahiri TFF, wameshamuandaa bingwa, wao kama vipi wanaweza hama ligi!!zambia , congo dr, kote wanatakiwa!!!sasa tukio hilo na mtu kupewa ubingwa wapi na wapi?huyo lazima apigwe kitu kizito, tu.
Yule si MuhindiAskari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi
Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Achana na India na China Mkuu... Anayebisha kuhusu haya unayosema aje Anishike Mkono Tushindane.Mtu sio mtanzania halafu anataka kujitutumia kuliko wazawa hiyo haipo nchi yoyote kama unabisha nenda india ama
China kajitutumue tuone
angalia hilo topolo uvundoMtu sio mtanzania halafu anataka kujitutumia kuliko wazawa hiyo haipo nchi yoyote kama unabisha nenda india ama
China kajitutumue tuone
Kwa hiyo Barbara akae VIP na watoto wake wakakae huko changanyikeni? Usalama wa watoto nani ataangalia? Vipi haki ya watoto kuambatana na wazazi wao kwenda kwenye viwanja vya michezo? Magori nae vipi alikuwa na watoto?Yeye Barba ndiyo amewanyanyasa maafisa wa Club ya Simba kwa kuwanyima kadi zao za VVIP tena zenye majina yao na kuwapa watoto wake ambao sio maofisa wa club na kimsingi hawakua na sifa ya kuingia jukwaa maalumu la maofisa.
NB:
Jifunze kutofautisha mtu kuwa mweupe na mtu kuwa mzungu.
club ya simba sio club ya familia, Babra angekata ticket za VIP akakae huko na familia yake.Kwa hiyo Barbara akae VIP na watoto wake wakakae huko changanyikeni? Usalama wa watoto nani ataangalia? Vipi haki ya watoto kuambatana na wazazi wao kwenda kwenye viwanja vya michezo? Magori nae vipi alikuwa na watoto?
Kwa kifupi tu kwamba hao bodi ya ligi walikuwa wanalipiza kisasi kwa kunyang'anywa tonge mdomoni la mabilioni ya GSM na Barbara kuwapeleka TFF kule CAF kuhusiana na hilo suala la mdhamini mwenza.
They were just settling scores.
Hadi useme hivyo ni afisa gani wa Simba aliyelalamika kunyimwa tiketi ?Yeye Barba ndiyo amewanyanyasa maafisa wa Club ya Simba kwa kuwanyima kadi zao za VVIP tena zenye majina yao na kuwapa watoto wake ambao sio maofisa wa club na kimsingi hawakua na sifa ya kuingia jukwaa maalumu la maofisa.
NB:
Jifunze kutofautisha mtu kuwa mweupe na mtu kuwa mzungu.
Mashabiki wa Simba bana weupe sana kichwani tangu lini Babra akawa Mzungu?Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi
Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara??
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??