Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Huyu mzee kuna mazuri na mapungufu aliyoyafanya, kwangu moja ya pungufu kubwa la Mwalimu, ilikuwa kutoheshimu utawala wa sheria na ndilo tatizo kubwa linalotula Tanzania sasa hivi, tumedumaa kiuchumi, kielimu, kisiasa ni kwa sababu ya kutojua kuheshimu sheria wala haki, mbegu za matatizo ya kisheria na hali tuliyonayo sasa aliyapanda yeye mwenyewe no wonder alijua kuwa kuna siku hutabaki salama,
- Alimuona kwa macho yake Salmin akiiba uchaguzi, akanyamaza akidai eti ameongea na Salmin amemuahidi kuwa ataunda serikali ya mseto, serikali ya mseto my foot! ndio maana leo huko Visiwani hakuna salama, sasa how can one call huu kuwa ni utabiri?
- Utabiri of what wakati ni wewe mtabiri unayeyapanda hayo hayo matatizo yatakayokuja kuleta matatizo halafu you turn arround na kutabiri kwamba matatizo uliyoyapanda yatakuja kuleta matatizo? I do not get it!
Respect.
FMEs!
Ni uhawayani uliopindukia kuendelea kumlaumu mfu. Tuwaache wafu wawazike wafu wenzao.
kaka yangu wewe tatizo la mwalimu ni kumuangalia dr. Salmini tu.
- Hapa chini naona mkuu uko kwenye mada, binafsi sioni faida yake kwa taifa kwa hiyo nakuachia mwenyewe! na wala hayanihusu!Mimi nadhani tatizo unalo wewe zaidi mana umetoka nje ya mada.
Wazee wanasema kama hujafanya utafiti huna haki ya kusema, hivyo ni vyema unyamaze kimya ili usidhihirishe ujinga wako kwa umma.
- Tizama sheria zetu za sasa alizozipanda Mwalimu!Waziri wa sheria akiri kasoro katika katika kesi za madai
Na Exuper Kachenje
1. WAZIRI wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe, amesema serikali inaangalia uwezekano wa kuondoa utaratibu wa kisheria wa walalamikaji wa kesi za madai, kuwagharamia kwa nauli ya kwenda na kurudi mahakamani, watu wanaowashitaki.
2. Utaratibu huo pia unamtaka mlalamikaji, kugharimia chakula kwa wafungwa wa kesi za madai.
3. Chikawe alisema serikali imeamua kuangalia upya utaratibu huo baada ya kuona kuwa si sahihi.
Inawezekana uko sahihi lakini tulitaraji walioomba uongozi (isomeke utawala) kurekebisha hayo. Ni uhawayani uliopindukia kuendelea kumlaumu mfu. Tuwaache wafu wawazike wafu wenzao.
I stand by what I said. Kama ingekuwa hakuna kujifunza kutoka kwa waanzilishi bila shaka hadi leo dunia ingekuwa ina ndege zilizotengenezwa na wana ndugu Alright .- Uhayawani utakuwa kutotafuta ukweli wa matatizo yetu yalipo na yalipotokea, huwezi tatua tatizo ambalo hujui kuwa unalo na limekutokea wapi, kutafuta ukweli sio kumlaumu mfu ni kutafuta nothing but the truth, uhayawani wa juu na wa ajabu utakua ni kuwalamumu wanafunzi wa muanzishaji bila ya wananchi ambao walikuwepo wakati matatizo yanapandwa!
Respect.
FMEs!
kaka yangu wewe tatizo la mwalimu ni kumuangalia dr. Salmini tu. Mimi nadhani tatizo unalo wewe zaidi mana umetoka nje ya mada.
Wazee wanasema kama hujafanya utafiti huna haki ya kusema, hivyo ni vyema unyamaze kimya ili usidhihirishe ujinga wako kwa umma.
Unaweza rekebisha jambo likupalo mlo kwa mlango wa KIA( Chai Maharage)?
Uovu haupatilizwi nusu nusu. Kabla ya kupatilizwa uovu ni lazima ujae katika kipimo chake kisha ufurike ndipo ghadhabu ya upatilizo itakapo inuka na kuwachanganya wote, waliokuwemo na wasiokuwemo.
I stand by what I said. Kama ingekuwa hakuna kujifunza kutoka kwa waanzilishi bila shaka hadi leo dunia ingekuwa ina ndege zilizotengenezwa na wana ndugu Alright .
Mkuu FMEs,Huyu mzee kuna mazuri na mapungufu aliyoyafanya, kwangu moja ya pungufu kubwa la Mwalimu, ilikuwa kutoheshimu utawala wa sheria na ndilo tatizo kubwa linalotula Tanzania sasa hivi, tumedumaa kiuchumi, kielimu, kisiasa ni kwa sababu ya kutojua kuheshimu sheria wala haki, mbegu za matatizo ya kisheria na hali tuliyonayo sasa aliyapanda yeye mwenyewe no wonder alijua kuwa kuna siku hatutabaki salama,
- Alimuona kwa macho yake Salmin akiiba uchaguzi, akanyamaza akidai eti ameongea na Salmin amemuahidi kuwa ataunda serikali ya mseto, serikali ya mseto my foot! ndio maana leo huko Visiwani hakuna salama, sasa how can one call huu kuwa ni utabiri?
- Utabiri of what wakati ni wewe mtabiri unayeyapanda hayo hayo matatizo yatakayokuja kuleta matatizo halafu you turn arround na kutabiri kwamba matatizo uliyoyapanda yatakuja kuleta matatizo? I do not get it!
Kinachotokea leo sii unabii bali ni manabii wa Uongo, wagombea ruzuku na posho za serikali kwani wenye uchungu husimama imara hata kama wanapingwa na bunge zima.. Na tunawajua!
Mkuu FMEs,
5. Kweli yawezekana mwalimu hafuati sheria lakini sii yeye aliyeanzisha vyama vingi na akapingwa na viongozi na wananchi wengi..Je, leo hii kutofanikiwa kwa demokrasia nchini tunaweza kumlaumu kweli Nyerere ati kwa nini alipindisha sheria na matakwa ya wananchi kutokuwa na vyama vingi isipokuwa CCM..
- Mkulu Bob, tizama maneno ya a sitting Waziri Mkuu wetu, masikini ya Mungu hajui hata power alizonazo kisheria kwamba sisi wananchi tunamtegemea yeye kusimamia sheria na kama anashindwa anamfikishia rais wa jamhuri, kama sheria hazitoshi anatakiwa kwenda bungeni kuomba ammendment ili apewe sheria imara za kusimamia taifa kwenye rushwa na ufisadi,TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
VIONGOZI WA DINI TUSAIDIENI KUPAMBANA NA RUSHWA, UFISADI - PINDA
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini nchini waweke mkazo katika kuisadia Serikali kupambana na mmomonyoko wa maadili miongoni mwa jamii jambo ambalo amesema limesababisha kuwepo vitendo viovu kama rushwa na ufisadi.