Je, aliyefungwa Mechi mbili tu na ambaye hajafungwa bado, ila katoka Sare tano nani ameharibu mno Kimsimamo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kulwa FC katoka Sare tano na Dotto FC Kapoteza Mechi mbili tu je, Kiuchambuzi / Kimpira tu nani kati yao hawa Mapacha ndiyo ameharibu sana?
 
Simba bado ana mwchi mkononi haijajulikana Kama hizo mechi atashunda, atasuluhu ama atafungwa. Na pia ligi bado ndio kwanza mzunguko wa pili umeanza. Ila kimahesabu ukitoa sare moja ni sawa na kupoteza point mbili na ukifungwa unapoteza point tatu. Ili kumzidi mwenzio unatakiwa kushinda michezo mingi zaidi kuliko sare ama kufungwa.
 
Uto bila kununua waamuzi ni kama mbao fc tu.
Najua kuna mtu anakamatwa si muda mrefu kwa michezo ya kuhonga waamuzi.Uto mtatafutana waamuzi wakiwaacha
Umejuaje kwamba Uto wanahonga waamuzi?
 
Watu wa Simba mnaweweseka sana....

Malizeni kwanza mzinguko wa kwanza.
 
Kulwa FC katoka Sare tano na Dotto FC Kapoteza Mechi mbili tu je, Kiuchambuzi / Kimpira tu nani kati yao hawa Mapacha ndiyo ameharibu sana?
Ligi mzunguko wa pili huwa inakuwa ngumu Simba wajiangalie hamna kiporo chepesi hapo
 
Mimi siyo Mshabiki wa Simba au Yanga, ila sijui ni kwanini najikuta napenda tu jinsi Simba inavyocheza Soka zuri japo Yanga nao wananifurahisha.
Hahahaaa daah, yaani tz kuna timu inacheza mpira mzuri? Unalinganisha na wapi broo?
 
Uto bila kununua waamuzi ni kama mbao fc tu.
Najua kuna mtu anakamatwa si muda mrefu kwa michezo ya kuhonga waamuzi.Uto mtatafutana waamuzi wakiwaacha
Huwa nakosa jina la kuwapa watu wa aina yako awe Yanga awe Simba. Mnakera kwa maoni ya kiwango cha chini kiasi hiki.
 
Huyu aliyefungwa game mbili hana sare hata moja?
Tumia Akili Wewe Pimbi hivi aliyeangusha alama 10 kwa kutoka Sare Mechi zake 5 na aliyefungwa Mechi zake 2 tu hawa Kiuhalisia wana Uwiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…