MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kulwa FC katoka Sare tano na Dotto FC Kapoteza Mechi mbili tu je, Kiuchambuzi / Kimpira tu nani kati yao hawa Mapacha ndiyo ameharibu sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamuzi alitoa penati kwa Simba vs Kmc alipewa ela na kiongozi wa utopolo ili wawazawaidie Simba penati?Uto bila kununua waamuzi ni kama mbao fc tu.
Najua kuna mtu anakamatwa si muda mrefu kwa michezo ya kuhonga waamuzi.Uto mtatafutana waamuzi wakiwaacha
Umejuaje kwamba Uto wanahonga waamuzi?Uto bila kununua waamuzi ni kama mbao fc tu.
Najua kuna mtu anakamatwa si muda mrefu kwa michezo ya kuhonga waamuzi.Uto mtatafutana waamuzi wakiwaacha
Ligi mzunguko wa pili huwa inakuwa ngumu Simba wajiangalie hamna kiporo chepesi hapoKulwa FC katoka Sare tano na Dotto FC Kapoteza Mechi mbili tu je, Kiuchambuzi / Kimpira tu nani kati yao hawa Mapacha ndiyo ameharibu sana?
Yawezekana Muhongaji ni Bwana wake / Hawara yake Ndugu unajuaje?Umejuaje kwamba Uto wanahonga waamuzi?
Huyu aliyefungwa game mbili hana sare hata moja?Kulwa FC katoka Sare tano na Dotto FC Kapoteza Mechi mbili tu je, Kiuchambuzi / Kimpira tu nani kati yao hawa Mapacha ndiyo ameharibu sana?
Hahahaaa daah, yaani tz kuna timu inacheza mpira mzuri? Unalinganisha na wapi broo?Mimi siyo Mshabiki wa Simba au Yanga, ila sijui ni kwanini najikuta napenda tu jinsi Simba inavyocheza Soka zuri japo Yanga nao wananifurahisha.
Hahahaaa daah, yaani tz kuna timu inacheza mpira mzuri? Unalinganisha na wapi broo?
Umetumia kilevi gani wewe? Yaani unaamini simba iingie top ten la liga? Hata segunda B mkeshika mkia kwa zero pointSimba.. hata kocha wa Sevilla alikiri ingekuwa haikosi kwenye top ten ya la Liga.
Huwa nakosa jina la kuwapa watu wa aina yako awe Yanga awe Simba. Mnakera kwa maoni ya kiwango cha chini kiasi hiki.Uto bila kununua waamuzi ni kama mbao fc tu.
Najua kuna mtu anakamatwa si muda mrefu kwa michezo ya kuhonga waamuzi.Uto mtatafutana waamuzi wakiwaacha
Umejuaje kwamba Uto wanahonga waamuzi?
Tumia Akili Wewe Pimbi hivi aliyeangusha alama 10 kwa kutoka Sare Mechi zake 5 na aliyefungwa Mechi zake 2 tu hawa Kiuhalisia wana Uwiano?Huyu aliyefungwa game mbili hana sare hata moja?