mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Inasikitisha sana , nchi iko mikononi mwa mfalme juhaNa bado hatochukuliwa hatua yoyote,cha kushangaza wanaokemea mauaji na utekaji ndo wanaouwawa na kupotezwa
Hawawezi kumkamata huyo bwabwa maana walimtuma wao..Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni.
Kama bado nitahamasisha kukamatwa kwake mara moja!!
Huyu niwakuadabishwaHawawezi kumkamata huyo bwabwa maana walimtuma wao..
View: https://x.com/HildaNewton21/status/1992003732889092099?t=NO2W9Fvwb2uINI4JPEtsng&s=19
Sio mchezo kabisa..ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo
Sasa hivi ilibidi awe chini ya uangalizi wa polisi.. ila wamemuacha tuHuyu niwakuadabishwa
Sababu wanajua ni mtu wao, Pumbavu sana polisiSasa hivi ilibidi awe chini ya uangalizi wa polisi.. ila wamemuacha tu
Mbona namuonaga pale kijiwe cha kahawa gerezani shule ya uhuru na huwa nachangia hoja kwa kuvuja jasho hivyohivyo.Huwa anatumia nguvu sana kuchangia hoja ila ni kilaza mno.Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni.
Kama bado nitahamasisha kukamatwa kwake mara moja!!
Uyu kazi anayo watu wamevurugwa alafu anakuja ongea ujinga mishipa ya shingo imesimama kama antena ya mnala wa tigo , atajibiwa vizuri ,anoe panga lake vizuri ili kata vichwa ,siku zajaHivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni.
Kama bado nitahamasisha kukamatwa kwake mara moja!!
Halafu utashangaa Gwajima alipokemea UTEKAJI akafungiwa makanisa na kuanza kuwindwaHivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni.
Kama bado nitahamasisha kukamatwa kwake mara moja!!
Ukimuona Kobe juu ya mti ujue amepadishwa.Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni.
Kama bado nitahamasisha kukamatwa kwake mara moja!!