Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Halafu utashangaa Gwajima alipokemea UTEKAJI akafungiwa makanisa na kuanza kuwindwa
Ila hawa masheikh wa mchongo waliochochea mgawanyiko wa kidini na kutishia kuchinja watu wasio na hatia hatujasikia hata nzi akiwagusa!
Hapo unajiuliza hii nchi inahitaji watu wa aina Gani?
Gwajima huyu huyu aliyesema atageuza Misikiti kuwa Sunday schools?