PostGE2025 Je aliyesema atawakata vichwa waandamanaji amekwisha kamatwa?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections


Gwajima huyu huyu aliyesema atageuza Misikiti kuwa Sunday schools?
 
Hivi majuzi Kuna limbukeni mmoja wa elimu duuniya aliibuka na kuzua taharuki aliposema atakata waandamanaji vichwa D9.

Japo alichupa mipaka katika kauli yake hiyo na alikosea sana. Ila miongoni mwenu nyinyi wenye "Elimu Dunia" mbona mnachochea vurugu na uvunjifu wa Amani na kuuhalalisha?
Nataka kujua kama huyo tahira anaewatukanisha ndugu zangu Waislamu na mtume Mohammed katika kristo kama amekwisha tiwa nguvuni.

Sisi Waislam na wale wasio Waislam kila mtu ana Dini yake. Hatutoungana na makafiri katika Dini zao. Iacheni Dini yetu. Kama hamtaki kuwa Waislam na mnabaki na Dini zenu hatutaki kejeli zenu na mchezo kwenye Dini yetu. Dini yetu sio mchezo na jambo la kufanyia masihara na kejeli.

Tuishi kwa Amani, utulivu na uvumilivu, ila sisi Waislam tuna Dini yetu na makafiri wana dini zao.


Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Hawezi kamatwa maana ndiyo karata yao ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…