mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
Kama alipata Check no na akawa anapata Mshahara Ni ngumu kupata tena kwa utaratibu wa Kawaida.Wakuu kwema? Wayback kidogo bro wangu aliajiriwa serikalini sekta ya afya huko mtwarwa, alifanya kazi kwa miaka 3 na akaacha kazi kwa sababu anazozijua yeye. Baada ya muda kupita maisha yamemnyoosha vilivyo,nimeona juzi anadai amefanikiwa kutuma maombi,swali je,anaweza kuajiriwa tena?
Aende akafuatilie aone kama kuna kadirisha ka angalau kuingiza kichwaKISIWAGA Kwa kifupi amepinda kushinda maelezo,analima mpaka vibarua na anawatoto watatu,kazini sijui kama anahesabika mtoro au alifutwa.
Watu ni wapumbavu sana, wanataka mafanikio ya haraka kisa eti serikalini mishahara midogo.Unaacha kazi ya laki 6 serikalini unakimbilia million 1.5 ya private kwa mkataba wa miaka miwili matokeo yake ndio haya.
Mkuu vipi, unao waraka unaoelezea utaratibu wa kurejea ktk utumishi wa umma baada ya kuacha kazi?Kama alipata Check no na akawa anapata Mshahara Ni ngumu kupata tena kwa utaratibu wa Kawaida.
Hata akichaguliwa, akifika kwenye Halmashauri atakayopangiwa ATAKWAMA.
View attachment 2203939
Ahsante sana, bilashaka hata wewe unaweza ukanisaidia waraka niliomuomba MosesKing hapo juu.Akinahatika kupangiwa kituo cha kazi, mwajiti atamuombea kurejeshwa utumishi wa umma na kuendelea kutumia check nba yake.
Hayo maombi yanaelemezwa ofisi ya katibu mkuu utumishi. kuna utaratibu atapitia ikiwa pamoja na kufanyowa vetting na kitengo cha usalama wa serikali(GSO) kuona kama bado ako na sifa za kuwa mtumishi wa umma, then taarifa yake ndio itawaongoza kama karibu mkuu kiongozi ampatie kiabali ama la!
Ni mchakati mrefu saa kwa kweli na unatka moyo sana , unaweza kutumia miaka miwili ama hata mitatu mpka kurejeshwa.
Hiyo inaitwa short term pleasure for longterm painfully vijana wanataka walale masikini waamke tajiriWatu ni wapumbavu sana, wanataka mafanikio ya haraka kisa eti serikalini mishahara midogo.
Sina mKuu, mara nyingi nyaraka huwa zinaishia kwa maafisa utumishiMkuu vipi, unao waraka unaoelezea utaratibu wa kurejea ktk utumishi wa umma baada ya kuacha kazi?
Ok sawaSina mKuu, mara nyingi nyaraka huwa zinaishia kwa maafisa utumishi