Je, aliyewahi kuacha kazi anaweza kuomba tena kazi na akapata?

Option nzuri zaidi hua ni kuchukua likizo bila malipo. Kama una mishe yako, unachukua likizo bila malipo kwa miaka kadhaa unaenda kupiga ukimaliza unarudi kwenye kituo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…