1120ulimwengu
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 308
- 489
Hata member mwenzetu mmoja aliwahi kukaangwa na hiyo kamati ya ndugai Pascal Mayalla mpaka leo ni siri yake kilichomkuta huko!Habari wakuu!Naomba kupata CV na biography full ya mbunge ALLY MAKOA ambaye ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili,haki na madaraka ya bunge.Nadhan ni vizuri kumuelewa bwana huyu kwakuwa wenyeviti kadhaa wa kamati hii waliopita walijitahidi sana kulinda majina yao katika maamuzi kama George Mkuchika,Emmanuel Mwakasaka nk.
Maspika wamekuwa wakiitumia kamati hii kuadhibu,kudhalilisha na kutweza utu wa wasema ukweli.Job Ndugai aliitumia kamati hii kumtweza CAG wa wakati huo Prof.Mussa Asad kwa kusema bunge ni dhaifu akirejelea udhaifu wa bunge kutochukua hatua juu ya ubadhirifu uliobanika kwenye ripoti.Pia alifanya hivyohivyo kwa Halima Mdee kwa eti kuunga mkono maneno ya Asad!Ndugai pia alimtweza Makonda kwa kumuita katika kamati hyohyo kufuatia kauli yake kwamba wabunge husinzia bungeni(kitu ambacho actually hata mtoto wa darasa la tatu anajua wabunge husinzia bungeni)!Wenyeviti wa wakati huo at least walikuwa na soni..huyu Makoa anaonekana ni pushover sana kufuatia sakata la MPINA.Naomba kumfaham
Yaani sijui huko kwenye Kamati huwa wanaambiwa nini. Kaka Pascal Mayalla yupo tayari kuandika chochote kinahomkera au kinachomfurahisha, lakini sio kilichojiri kwenye Mahojiano na Kamati Ile!!!Hata member mwenzetu mmoja aliwahi kukaangwa na hiyo kamati ya ndugai Pascal Mayalla mpaka leo ni siri yake kilichomkuta huko!
Ni kweli mambo niliyokutana nayo huko ni siri yangu na kamati, ila siri nyingine ni za ki uzalendo tuu, kama unapokutana na dingi wako kona fulani, huwezi kumwambia maza, kutawasha moto home, halafu baadae unakuja kukuta kimefyatuliwa ki foto copy na dingi utadhani kajizaa, by that time dingi ni mstaafu, fungu limekata!, unajikuta unawajibika kusaidia school fees ya hako ka copy, bila kutoa siri ya dingi!, ila dingi ana taarifa zako unavyo okoa jahazi kimya kimya na anakuheshimu kwa hilo!.Hata member mwenzetu mmoja aliwahi kukaangwa na hiyo kamati ya ndugai Pascal Mayalla mpaka leo ni siri yake kilichomkuta huko!
Akakubali yaishe, if you cant fight them join them, simple.Hata member mwenzetu mmoja aliwahi kukaangwa na hiyo kamati ya ndugai Pascal Mayalla mpaka leo ni siri yake kilichomkuta huko!