Heri ya mwaka mpya!
Mwaka unaanza kwa wababe wa dunia kutunishiana misuli pale red sea huku russia akishambuliwa belgorod na huku mitambo ya Urusi ndani ya Syria ikitungua makombora ya Israel na wakati huo huo wairan wamepeleka destroyer red sea hapohapo wamarekani wameshambulia speed boat ya wahouth.
Je, amani ya ulimwengu itasalimika 2024?
Sie Waafrika tunaomba kwa mungu salama na amani in 2024 ili tufute umasikini wa watu wetu wakati wengine wakijitahidi kuharibiana nchi zao.