Je, ambao hamkupandishwa daraja mwezi uliopita kuna mtu amepanda au ndio tunasubiri bado?

Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
 
Unaonaje ukiiacha kazi Ili baadhi ya watu ambao bado hawajapata ajira wapate? Najua wao watakuja na morali ya kazi.
Acha kumshauri vibaya. Mwambie afanye kazi za Serikali kwa shingo upande lakini pia aanzishe project zake binafsi aweke bidii zaidi huko.
 
Kama ulikuwa kwenye orodha ya kupanda daraja, hata usihangaike kwenda sijui kwa Afisa Utumishi wako, tulia endelea kufanya kazi ni suala la muda tu utapanda daraja na Utadai malimbikizo kuanzia mwenzi wa sita 2021, niamini ninacho kwambia.
 
Asante sana. Wacha nivute subira mkuu
 
Acha kebehi bhasi!
Mwenzio anapitia wakat mgumu we unaleta masihara ya kipuuz

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ili jamii iwe kamili watu kama hao hawakosekani. Naamini ana sababu ya kunijibu kwa kebehi..labda anapitia magumu kuzidi haya yangu ya kutopanda daraja😀🤣🤔🤗..So anaona ajifurahishe kwa kutuumiza wenzie ili tuwe level moja naye ya kujisikia vibaya
 
Samahani nikuulize umeajiriwa lini au last prom yako ilikuwa lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…