Je, amino acid inafaa kwa watu wembamba watu wangu wa gym?

Je, amino acid inafaa kwa watu wembamba watu wangu wa gym?

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
560
Habari za jumapili wakuu hivi amino acid inafaa kwa watu wembamba kama mimi nina mikono membamba yaani focus yangu ni kujaza mikono

Ushauri wenu wataalaam wa protin supplement
 
Back
Top Bottom