Je amri ya kuzuia kuua inahusu wanadamu pekee? Je anayeua viumbe wengine kama majini atahesabiwa dhambi sawa na aliyeua mwanadamu mwenzake?

Je amri ya kuzuia kuua inahusu wanadamu pekee? Je anayeua viumbe wengine kama majini atahesabiwa dhambi sawa na aliyeua mwanadamu mwenzake?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ukisoma maandiko matakatifu kwenye kitabu cha kutoka 20:13 utaona mwenyezi Mungu amekataza bana Israel kuua

Napenda kujua mwanadamu anayeua mwanadamu mwenzake atahesabiwa hatia au dhambi sawasawa na yule aliyeua viumbe wengineo kama pekee majni?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
 
Jini sio mtu so ni sahihi kuua hata maandiko yanasema usimuache mchawi Aishi,so wachawi inatakiwa wauwawe na majini ndio uwapa nguvu wachawi
 
Hivi daudi alivyoambiwa alete govi mia za wafilisti haku ua?
 
Back
Top Bottom