Je,ana haki ya kunishitaki?

Akushtaki kwa lipi? kama ni kwa kumpa mimba binti yake akiwa shule kwani hakushtaki kipindi hicho? kwa sababu umesema kuwa ana uwezo kuliko kwenu, basi anaweza kumwaga mboga tu, ukajikuta unanyea debe bila kufikishwa hata polisi.
Ila mkuu, kitendo cha kumzalisha binti wa watu then unasema huwezi kumuoa, itaku-cost siku za usoni, hakuna mtu anayetaka mwanae aalibiwe.
 
Best,,mi nakushauri umuoe tu.
Haya mambo sometime ni kama laana kucheza na maisha ya mtu, huwez jua itamuathiri kiasi gani..!pia wanawake ni haohao tu!! Unaweza kuja kuoa kimeo tena zaidi...sasa sijui utafanyaje,,yani in short hakuna mtu aliyekamilika ,, so basi jitahid kwenda nae taratibu mwanadam ni rahisi kubadilika.

N.b mshirikishe mungu kwa hili.
 
Nilitamani kusikia mawazo ya wanasheria ktk hili but nimeambulia majibu ya wanasaikolojia na sosholojia na tgnp
 
Nina hamu sana ya kusikia maoni ya wanasheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…