katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Sikia best huyo anakuogopa kusema kitu kilichopo moyoni ila ili uwe nauwakika anza hivi.
Mamboo uwe na asubuhi njema.
Umeshindaje uwe namlo mwema.
Nakutakia njozi njema basi.
Ukitaka kutuliza akili mtext je uko powa unaweza kuja nilipo basi mnabadilishana mawazo sio mapenzi tu bali hata future muwe mnaongelea pia pendeni kufanya viźuri kwenye masomo yenu hapo ndipo mtakuwa na nanafasi naujasiri wakuimarisha urafiki wenu mpaka mahusiano yenu.
Halafu humu ni Jf watu wa 100 hawajaandikiwa hivyo saw wanakuonea wivu.
Huko chuo wengi huoana nawanaosema unautoto waulize wao walipata wapi waume zao au wake zao shuleni ndio penyewe ukitoka bila ni ngumu kupata .
Take care use protection if is necessary you never know even vaa barakoa corona is real.
Maisha nikujipanga tu kila mahali unapaswa kujigawa.