Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

Anayo c hiyo ya George yan ana two ya 21 kapata d physics tu mengine yote ana c
Tusidanganyane mkuu hiyo PCB yahitaji nguvu na moyo bila ivyo hakuna atachopata kama amepata c olevel si rahisi kuchomoa ata 50 ya principal pass mwambie aache tamaa ya kusoma PCB atakuja atanikumbuka siku moja
 
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.

Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Mkuu usalama???
Pole kwa kazi za kuongeza riziki nyumbani kwako na katika malango yako Ninakushauri yafuatayo
1 Mwambie mtoto akabadili combination aende hiyo PCB kwani kwa matokeo ya physics mwaka huu hayakuwa mazuri kabisa NI shule chache waliopata A up to C
2 Mtoto huishi kwa ndoto kwa Nini mnataka kuua ndoto zake!!! Msiwe sababu ya kuharibu maisha yake ndugu yangu
3 commitment awe nayo mwanafunzi asirubuni kule aendako Wala kufadhaika lkn akasome kwa kutokukata tamaa mkuu
4 Mpaji ni MUNGU TU sisi tusimpe vyetu huyu Mtoto. Amina
Narudi kijijini kwetu
 
mwambie ahamie EGM..he/she will thank me later..
 
M
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.

Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Mwambie aaache ujinga ivi PCB unaichukulia simple nenda kasome HGK ukingania PCB ukingangania utafeli bule mim nakushauli vizuri nimesoma sayansi A level uwo moto wa PCB ni noma nusu niwechizi kuna rafiki yangu mumoja alikuwa chizi kabisa just imagine wiki nzima hakuna kulala nimapindi hatuna muda na mademu ni msuri mwanzo mwisho shikamooh PCB
 
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.

Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?

MHM KWA PCB LABDA UKIENDA UPIGE MSULI TEMBO OTHERWISE NENDA COLLEGE USIPOTEZE MUDA
 
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.

Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Labda kwa huruma ya Mkuu wa shule maake inatakiwa angalau kiwango cha chini awe na C kwenye hayo masomo yote ko apo kwenye D physics itakuwa ngumu kwa Saiz ila baadhi ya shule inawezekana et
 
Back
Top Bottom