chikoxalate
Member
- Apr 18, 2018
- 62
- 22
Tusidanganyane mkuu hiyo PCB yahitaji nguvu na moyo bila ivyo hakuna atachopata kama amepata c olevel si rahisi kuchomoa ata 50 ya principal pass mwambie aache tamaa ya kusoma PCB atakuja atanikumbuka siku mojaAnayo c hiyo ya George yan ana two ya 21 kapata d physics tu mengine yote ana c
Mkuu usalama???Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.
Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Mwambie aaache ujinga ivi PCB unaichukulia simple nenda kasome HGK ukingania PCB ukingangania utafeli bule mim nakushauli vizuri nimesoma sayansi A level uwo moto wa PCB ni noma nusu niwechizi kuna rafiki yangu mumoja alikuwa chizi kabisa just imagine wiki nzima hakuna kulala nimapindi hatuna muda na mademu ni msuri mwanzo mwisho shikamooh PCBSamahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.
Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Samahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.
Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Umemushauli vizuri aende college tuuuhhMHM KWA PCB LABDA UKIENDA UPIGE MSULI TEMBO OTHERWISE NENDA COLLEGE USIPOTEZE MUDA
Yeah itapendeza sanaKwahiyo mkuu nimwambie asiende kusoma hiyo pcb akasome HGK.
Labda kwa huruma ya Mkuu wa shule maake inatakiwa angalau kiwango cha chini awe na C kwenye hayo masomo yote ko apo kwenye D physics itakuwa ngumu kwa Saiz ila baadhi ya shule inawezekana etSamahani na mdogo wangu hapa kapangiwa comb HGK ila anataka kuhamia PCB wakati huo ana C ya Chemistry, Bios ana C ila Physics ana D.
Je, anaweza kuhama kwenda comb hiyo ya PCB?
Kweli maake kule napo panaitaji kuchakalika ko amtafutie ata pharmacy itapendezaUmemushauli vizuri aende college tuuuhh