JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Habari wataalam, kuna ndugu hapa ameomba kupata information kutoka kwa wadau..ni hivi jamaa aliharibu matokeo ya bachelor hayakua mazuri (GPA) lower second.
Kwani hakua serious na shule wakati huo. Ila amejiongeza amekwenda kufanya Master ametoka na GPA ya first class 4.5. Sasa amepata mzuka wa kuclear Bachelor's degree a some degree nyengine hata open university ili asiharibu ratiba za kujiingizia kipato kutokana na umri, anataka akomae atoke na first class ili awe na sifa ya kufundisha chuo.
Sasa hapo Master itakua ndio imetangulia halafu Bachelor imefuata baadae je inakubalika hivi kwa vigezo vyao?