Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwa hiyo mkuu kama mtu ana gpa ya 2.8 kwa level ya undergrad akiwa na PhD hawaangalii gpa ya undergraduate? kama ni hivyo kwanini wakiwa wanatangaza kazi wanaanza na kigezo cha kwanza uwe na gpa ya 3.5 au 3.8 level ya undergrad?Kuliko arudie Bora angefanya PhD. Ukiwa na PhD ktk taaluma husika hiyo undergraduate level hatuangalii. Naongea kwa uzoefu maana nimefanya hizo kazi.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app