JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Hii ndio kwanza naisikia mkuu, Master ya mwaka mmoja? Una apply kwa qualification za Bachelor's degree? Wanatoa fully funded scholarship?Aachee kusumbukaa atafute master nyingine china au german au uk ya mwaka mmoja akirud ana first class yake nzur anaanza kufundisha hata open university kisha anaomba kuhamia chuo chochote anachokitakaaa cha serikali. Wenzake tulifanya hvyo sasa tunaendelea kufundisha ingawa bachelor degree GPA hazkukaa vzur
Halafu mbona vyuo hapa bongo wanakomaa lazima Uwe na GPA ya juu ya undergraduate hiki kigezo cha Master ya mwaka mmoja kufidia imekaaje hii? Idadavue kidogoAachee kusumbukaa atafute master nyingine china au german au uk ya mwaka mmoja akirud ana first class yake nzur anaanza kufundisha hata open university kisha anaomba kuhamia chuo chochote anachokitakaaa cha serikali. Wenzake tulifanya hvyo sasa tunaendelea kufundisha ingawa bachelor degree GPA hazkukaa vzur
Halafu mbona vyuo hapa bongo wanakomaa lazima Uwe na GPA ya juu ya undergraduate hiki kigezo cha Master ya mwaka mmoja kufidia imekaaje hii? Idadavue kidogo
Hii ndio kwanza naisikia mkuu, Master ya mwaka mmoja? Una apply kwa qualification za Bachelor's degree? Wanatoa fully funded scholarship?
Interesting, sasa kwa nini ukasugest apige Masters nyengine? Kwanini isiwe ile ile moja tu akaombea vyuo vidogo vya serikali?Inategemea na course Mkuu. Vyuo kibao china Master ni miez 12, 16, 18 au 24. Hata ujeruman kuna baadhi ya course masters ni mwaka mmoja tu. Scholarship n juhud zako kupambana na ni fully scholarship mfano mzur Daad scholarship au China Scholarship Council.
Interesting, sasa kwa nini ukasugest apige Masters nyengine? Kwanini isiwe ile ile moja tu akaombea vyuo vidogo vya serikali?
Basi si bora afanye PhD kabisa tu auBongo watu kibao wana masters moja moja but watu wachache wana masters zaid ya moja kwa hyo akiwa na mbili itamuweka kwenye advantage zaid kwenye vyuo vidogo lakin pia akitaka kuhama watamchukua kirahic maana tayar ametengeneza experience.
Kama hakuwa serious na shule kipindi hicho tutakua na uhakika gani kama tukimpa darasa afundishe atakua serious ma shule?Habari wataalam, kuna ndugu hapa ameomba kupata information kutoka kwa wadau..ni hivi jamaa aliharibu matokeo ya bachelor hayakua mazuri (GPA) lower second.
Kwani hakua serious na shule wakati huo. Ila amejiongeza amekwenda kufanya Master ametoka na GPA ya first class 4.5. Sasa amepata mzuka wa kuclear Bachelor's degree a some degree nyengine hata open university ili asiharibu ratiba za kujiingizia kipato kutokana na umri, anataka akomae atoke na first class ili awe na sifa ya kufundisha chuo.
Sasa hapo Master itakua ndio imetangulia halafu Bachelor imefuata baadae je inakubalika hivi kwa vigezo vyao?
Ufundishaji wa chuo kikuu kinacho angaliwa na ni degree ya kwanza una gpa gani na sio una masters ngapi!!Bongo watu kibao wana masters moja moja but watu wachache wana masters zaid ya moja kwa hyo akiwa na mbili itamuweka kwenye advantage zaid kwenye vyuo vidogo lakin pia akitaka kuhama watamchukua kirahic maana tayar ametengeneza experience.
Mnaposoma degree ya kwanza mkiambiwa msome mnasema "gpa does not matter" sasa mmemaliza mnaona umuhimu wa gpa!!Interesting, sasa kwa nini ukasugest apige Masters nyengine? Kwanini isiwe ile ile moja tu akaombea vyuo vidogo vya serikali?
Ufundishaji wa chuo kikuu kinacho angaliwa na ni degree ya kwanza una gpa gani na sio una masters ngapi!!
Hata ukiwa na master 10 kama degree ya kwanza hukupata gpa ya 3.5 au 3.8 hufundishi chuo kikuu!
Kuliko arudie Bora angefanya PhD. Ukiwa na PhD ktk taaluma husika hiyo undergraduate level hatuangalii. Naongea kwa uzoefu maana nimefanya hizo kazi.Habari wataalam, kuna ndugu hapa ameomba kupata information kutoka kwa wadau..ni hivi jamaa aliharibu matokeo ya bachelor hayakua mazuri (GPA) lower second.
Kwani hakua serious na shule wakati huo. Ila amejiongeza amekwenda kufanya Master ametoka na GPA ya first class 4.5. Sasa amepata mzuka wa kuclear Bachelor's degree a some degree nyengine hata open university ili asiharibu ratiba za kujiingizia kipato kutokana na umri, anataka akomae atoke na first class ili awe na sifa ya kufundisha chuo.
Sasa hapo Master itakua ndio imetangulia halafu Bachelor imefuata baadae je inakubalika hivi kwa vigezo vyao?
Kuliko arudie Bora angefanya PhD. Ukiwa na PhD ktk taaluma husika hiyo undergraduate level hatuangalii. Naongea kwa uzoefu maana nimefanya hizo kazi.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimemwambia hyo njia kwakua ni rahisi zaidi. Kuliko kuhangaika na Bachelor tena Bora aunge PhDMim nafanya Ph.D. nchini Spain-Madrid sasa hv na nimepita kwa njia hyo
Aameonesha kujirekebisha na kuonesha userious katika Master's program aliyofanya matokeo First Class GPAKama hakuwa serious na shule kipindi hicho tutakua na uhakika gani kama tukimpa darasa afundishe atakua serious ma shule?
Huu ndio ukweli mchungu, hawataki kabisa kusikia mpaka yawakuteMnaposoma degree ya kwanza mkiambiwa msome mnasema "gpa does not matter" sasa mmemaliza mnaona umuhimu wa gpa!!
Kwa chuo cha serikali kama huna atleast 3.8 sahau kufundisha chuo chochote cha serikali.