Je, anaweza kukidhi vigezo vya kuwa lecturer?

Kuliko arudie Bora angefanya PhD. Ukiwa na PhD ktk taaluma husika hiyo undergraduate level hatuangalii. Naongea kwa uzoefu maana nimefanya hizo kazi.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mkuu kama mtu ana gpa ya 2.8 kwa level ya undergrad akiwa na PhD hawaangalii gpa ya undergraduate? kama ni hivyo kwanini wakiwa wanatangaza kazi wanaanza na kigezo cha kwanza uwe na gpa ya 3.5 au 3.8 level ya undergrad?
 
Je akitafuta hiyo masters nyingine akiwa bongo??
 
Mim nafanya Ph.D. nchini Spain-Madrid sasa hv na nimepita kwa njia hyo
Msalimie Eden Hazard mkuu, mwambie tunamtaka arudi darajani tuokoane.

Yaani Chelsea turudishe kiwango chake, na yeye aturudishe kwenye viwango vya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…