Don Billionea
Senior Member
- Jul 15, 2018
- 152
- 204
Atakuwa bado + kwakuwa virus bado viko mwiliniHabari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia vinatoka ktk mfumo wa damu vinaenda kukaa sehemu moja yaani ktk tezi.
je' uyu mtu ukimpima kwa mara ingine anaweza kukutwa bado yuko Positive..?
Ni moja ya elimu, kujifunza na kujua. Maana yajayo yatafurahisha[emoji3] [emoji2]Mkuu umepita pabaya nini
Wanatuchanganya kwa kusema virusi vinafubaa na kwenda kukaa sehemu moja ikiwa kama anazingatia dozi.Atakuwa bado + kwakuwa virus bado viko mwilini
Mkuu nenda kapime tu,kisha kaa miezi mitatu ukapime tena.Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia vinatoka ktk mfumo wa damu vinaenda kukaa sehemu moja yaani ktk tezi.
je' uyu mtu ukimpima kwa mara ingine anaweza kukutwa bado yuko Positive..?
Hayo ni kweli kabisa, vinafubaa na havina madhara kwakoWanatuchanganya kwa kusema virusi vinafubaa na kwenda kukaa sehemu moja ikiwa kama anazingatia dozi.
npe link mkuuKuna research moja inayoendelea wale wenye undetectable walichomwa sindano hii ya kinga ya HIV na imepunguza sana virus kwenye reservoir wakachomwa tena T8 ika clear kabisa. Ni mwaka wa tatu huu wameacha ARV’s bado wana waangalia ikifika miaka mitano itakuwa break through
Inafanywa na Oxford, Kings College pamoja na Emperial College Londonnpe link mkuu
Ok it is a good progress. Lakini kwa sasa hivi pia kuna tiba ya Stem Cell ambayo inazalisha seli za kinga na kupandisha kiwango cha CD4 je wewe kama medical personnel umeisha wahi kuijua na kuitumia kwa mwathirika yeyote? WELCOME and try it, it is really amazingKuna research moja inayoendelea wale wenye undetectable walichomwa sindano hii ya kinga ya HIV na imepunguza sana virus kwenye reservoir wakachomwa tena T8 ika clear kabisa. Ni mwaka wa tatu huu wameacha ARV’s bado wana waangalia ikifika miaka mitano itakuwa break through
inapatikanaje kwa Tanzania na gharama zake?Ok it is a good progress. Lakini kwa sasa hivi pia kuna tiba ya Stem Cell ambayo inazalisha seli za kinga na kupandisha kiwango cha CD4 je wewe kama medical personnel umeisha wahi kuijua na kuitumia kwa mwathirika yeyote? WELCOME and try it, it is really amazing
Ni habari njema kwa patientsKuna research moja inayoendelea wale wenye undetectable walichomwa sindano hii ya kinga ya HIV na imepunguza sana virus kwenye reservoir wakachomwa tena T8 ika clear kabisa. Ni mwaka wa tatu huu wameacha ARV’s bado wana waangalia ikifika miaka mitano itakuwa break through
Asante sanaukifatilia uzi wa jamaa mmoja hivi anajiita .DECEPTION yule jamaa aliongea mengi sana kuhusa HIV/AIDS humu JF nadhan huko alipo anabarikiwa sana.
Anasema HIV haisababishi UKIMWI na UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini unaoweza kuurekebisha kwa kula chakula bora,mazoezi,maji safi, hewa safi n.k. Anatuaminisha kwa fact kuwa Dawa za kupunguza makali ya virusi yani ARVs ndio chanzo kikubwa kinachosababisha UKIMWI na magonjwa mengi sana hadi kupelekea mtu kufa....Anaendelea laiti watu wangekuwa hawapimi HIV basi hakuna mtu angekufa kwa UKIMWI mana UKIMWI ni biashara ya dawa za ARVs
mtafute huyu jamaa mkuu...nakumbuka uzi ule uliwabariki sana watu, tangu 2013 uzi bado upo active hadi eo
inapatikanaje kwa Tanzania na gharama zake?