Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

Kun 3drps ya jamaa mmoja hiv anajiiya Dr Willium kuna aliewai kuiskia?
 
Kuna mama tulikuwa nae clinic, mume wake alifariki 1993 yeye alidumu kwa ARV tena zile za 90’s. Baada ya watoto kuondoka nyumbani alikuwa mpweke. Ndugu zake walimshauri apangishe nyumba akakae kwao kijijini. Alipofika wakaanza kumuombea na kumwambia aache dawa. Baada ya mwaka ugonjwa ilikuwa umefikia AIDS level
Sasa hivi bado mzima huyo mama?
 
Uzi za ngoma umu jf zimeshamil sana, yajayo hayafurahishi, walai vile
 
Kuna mama tulikuwa nae clinic, mume wake alifariki 1993 yeye alidumu kwa ARV tena zile za 90’s. Baada ya watoto kuondoka nyumbani alikuwa mpweke. Ndugu zake walimshauri apangishe nyumba akakae kwao kijijini. Alipofika wakaanza kumuombea na kumwambia aache dawa. Baada ya mwaka ugonjwa ilikuwa umefikia AIDS level
Walikosea sana hao ndugu zake Marehemu Virusi vya HIV/AIDS huwezi kuviombea dua eti vipate kufa hao wachungaji feki wanao waombea wagonjwa wa Virusi vya Ukimwi.Virusi vya ukimwi vipo ndani ya Damu na kuna dawa maalum za mitishamba za kuweza kuviuwa hivyo virusi vya ukimwi ukiweza kusafisha Damu,ini,figo na kusafisha utombo wa chakula kuwa msafi basi virusi vyenyewe vinakufa muda sio mrefu .Kuna dawa za mitishamba maalum za kuweza kusafisha Hizo Organ za mwili wa binadamu.

Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S

Tiba ya Ukimwi ninayo kwa Mtu mwenye kutaka nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili uweze kupona.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Naskia kuna wakati kwa wale watumiaji sana wa ARVs huonekana hawana hawo virus.adont knw y?
 
Kuna mama tulikuwa nae clinic, mume wake alifariki 1993 yeye alidumu kwa ARV tena zile za 90’s. Baada ya watoto kuondoka nyumbani alikuwa mpweke. Ndugu zake walimshauri apangishe nyumba akakae kwao kijijini. Alipofika wakaanza kumuombea na kumwambia aache dawa. Baada ya mwaka ugonjwa ilikuwa umefikia AIDS level
AIDS level ukimaanisha hatua gan mama
 
ukifatilia uzi wa jamaa mmoja hivi anajiita .DECEPTION yule jamaa aliongea mengi sana kuhusa HIV/AIDS humu JF nadhan huko alipo anabarikiwa sana.
Anasema HIV haisababishi UKIMWI na UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini unaoweza kuurekebisha kwa kula chakula bora,mazoezi,maji safi, hewa safi n.k. Anatuaminisha kwa fact kuwa Dawa za kupunguza makali ya virusi yani ARVs ndio chanzo kikubwa kinachosababisha UKIMWI na magonjwa mengi sana hadi kupelekea mtu kufa....Anaendelea laiti watu wangekuwa hawapimi HIV basi hakuna mtu angekufa kwa UKIMWI mana UKIMWI ni biashara ya dawa za ARVs
mtafute huyu jamaa mkuu...nakumbuka uzi ule uliwabariki sana watu, tangu 2013 uzi bado upo active hadi eo
Na kuna mwingine anaitwa Dr William huko fb naye ana maoni kama hayo na anadai ana dawa za kuondoa madhara ya dawa za kufubaza virusi.
 
Kuna mama tulikuwa nae clinic, mume wake alifariki 1993 yeye alidumu kwa ARV tena zile za 90’s. Baada ya watoto kuondoka nyumbani alikuwa mpweke. Ndugu zake walimshauri apangishe nyumba akakae kwao kijijini. Alipofika wakaanza kumuombea na kumwambia aache dawa. Baada ya mwaka ugonjwa ilikuwa umefikia AIDS level
Sasa*Sky Eclat
Hujamaliza ikawaje alivyofika kwenye hiyo level?
 
Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia vinatoka ktk mfumo wa damu vinaenda kukaa sehemu moja yaani ktk tezi.
je' uyu mtu ukimpima kwa mara ingine anaweza kukutwa bado yuko Positive..?
Yes, uwezekano ni mkubwa sababu virus vinakuwa vichache sana (very very low concentration in the blood) to the undetectable level by normal/ordinary ;aboratory screening methods except by PCR! Sky Eclat I s this correct?
 
Yes it’s correct but the person is still HIV +
 
Back
Top Bottom