kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Kwaiyo huyo mtu ambaye virusi vyake vipo low na haviwezi ku onekana kwny ivi rapid test anakuwa anao uwezo wa kumuambukiza mtu au?Yes it’s correct but the person is still HIV +
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo huyo mtu ambaye virusi vyake vipo low na haviwezi ku onekana kwny ivi rapid test anakuwa anao uwezo wa kumuambukiza mtu au?Yes it’s correct but the person is still HIV +
Huyu mwny Level iyo anakuwa na uwezo wa kuambukiza?Yes, uwezekano ni mkubwa sababu virus vinakuwa vichache sana (very very low concentration in the blood) to the undetectable level by normal/ordinary ;aboratory screening methods except by PCR! Sky Eclat I s this correct?
Hapana hawezi kuambukiza. Kwasasa hii ndiyo njia iliyoshikiliwa na WHO ili kuzuia maambukizi mapya watu wapimwe na waathirika watumie dawaKwaiyo huyo mtu ambaye virusi vyake vipo low na haviwezi ku onekana kwny ivi rapid test anakuwa anao uwezo wa kumuambukiza mtu au?
Oooh maana aka kagonjwa toka mwaka huu uanze kana nitafuta tafuta balaa zaidi ya mara mbiliHapana hawezi kuambukiza. Kwasasa hii ndiyo njia iliyoshikiliwa na WHO ili kuzuia maambukizi mapya watu wapimwe na waathirika watumie dawa
NO siyo kusema hawezi kuambukiza, lakini uwezekano wa kuambukiza unakuwa mdogo sana tena sana. In some studies (discordant couples) it has been found that the risk of transmission is reduced by 96%. Unaona kuwa uwezekano wa kuambukiza ni kama haupo! Itakuwa bahati mbaya sana kwa undetectable level kuambukizaHuyu mwny Level iyo anakuwa na uwezo wa kuambukiza?
Sky, anaweza kuambikiza lakini uwezekano ni mdogo sana sana. Kuna study ilionyesha risk ya kuambukiza kupungua kwa 96%... meaning the remaining 4% kwa mbali sana tena sana inaweza chance ya kuambukiza ikajitokezaHapana hawezi kuambukiza. Kwasasa hii ndiyo njia iliyoshikiliwa na WHO ili kuzuia maambukizi mapya watu wapimwe na waathirika watumie dawa
Asante mkuuSky, anaweza kuambikiza lakini uwezekano ni mdogo sana sana. Kuna study ilionyesha risk ya kuambukiza kupungua kwa 96%... meaning the remaining 4% kwa mbali sana tena sana inaweza chance ya kuambukiza ikajitokeza
Oooh good news ila naona huu ugonjwa baada ya miaka, 10 utakuwa ushapoteaNO siyo kusema hawezi kuambukiza, lakini uwezekano wa kuambukiza unakuwa mdogo sana tena sana. In some studies (discordant couples) it has been found that the risk of transmission is reduced by 96%. Unaona kuwa uwezekano wa kuambukiza ni kama haupo! Itakuwa bahati mbaya sana kwa undetectable level kuambukiza
Hii ilimtokea mama angu mdogo alkua hoi akatumia dawa karudi kijijin akanenepa hadi watu wakamsahau, alikaa kijiji km miezi 6 hivi,Kuna mama tulikuwa nae clinic, mume wake alifariki 1993 yeye alidumu kwa ARV tena zile za 90’s. Baada ya watoto kuondoka nyumbani alikuwa mpweke. Ndugu zake walimshauri apangishe nyumba akakae kwao kijijini. Alipofika wakaanza kumuombea na kumwambia aache dawa. Baada ya mwaka ugonjwa ilikuwa umefikia AIDS level
Kuna trend inayoendelea sasa hivi incites UU ndiyo imenifanya ni we mbivu wa kueleza. UU = Undetectable UntramittableSky, anaweza kuambikiza lakini uwezekano ni mdogo sana sana. Kuna study ilionyesha risk ya kuambukiza kupungua kwa 96%... meaning the remaining 4% kwa mbali sana tena sana inaweza chance ya kuambukiza ikajitokeza
mh kama siyo ya Kweli unayoyasema utaua wengi sanaInapatikana kwa samabazaji (mie mmojawapo) hata hapa Dar ipo, gharama inategemea; kama mtu akinunua tu kwa bei ya rejareja inaweza kwenda mpaka 1.8m, ila kuna namna anaweza kupata dose yote kwa hata chini ya 1m
KWA MAELEZO ZAIDI NJOO PM TU
Exactly... uko sahihi kabisa lakini kale ka 4% kapo kidogo. Soma hii hapa.Kuna trend inayoendelea sasa hivi incites UU ndiyo imenifanya ni we mbivu wa kueleza. UU = Undetectable Untramittable
Nimekupenda bure kwa kutafuta knowledge maana uliniambia kuwa you are not a medical doctor while at Ubwari!Kuna trend inayoendelea sasa hivi incites UU ndiyo imenifanya ni we mbivu wa kueleza. UU = Undetectable Untramittable
Kwahiyo nikitembea na mtu anaezingatia dozi siwezi kupata HIV hata Kama michubuko itatokea?Hayo ni kweli kabisa, vinafubaa na havina madhara kwako
Siri moja ya ARV ni kukufanya uwe dependentKuna mama tulikuwa nae clinic, mume wake alifariki 1993 yeye alidumu kwa ARV tena zile za 90’s. Baada ya watoto kuondoka nyumbani alikuwa mpweke. Ndugu zake walimshauri apangishe nyumba akakae kwao kijijini. Alipofika wakaanza kumuombea na kumwambia aache dawa. Baada ya mwaka ugonjwa ilikuwa umefikia AIDS level
SOMA MSG #74 UTAPATA JIBU SAHIHI LA SWALI LAKO, FROM LITERATURE....Kwahiyo nikitembea na mtu anaezingatia dozi siwezi kupata HIV hata Kama michubuko itatokea?
Unachokitafuta utakipata kijanaKwahiyo nikitembea na mtu anaezingatia dozi siwezi kupata HIV hata Kama michubuko itatokea?
mh kama siyo ya Kweli unayoyasema utaua wengi sana
Hamna hiko kitukwa wale wanaotumia mlonge longe kuna wakati mtu akipima vijamaa havionekani