Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO?

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda ya kuwa analipa kisasi chake huku akitoa nyongo Kwa kukatiwa mrija wake wa Ulaji wa Kúpiga Kondoo wake,

Kiboko ya Wachawi anaongea Kwa hasira na kikanuni Watu wanaoongea wakiwa na Hasira huongea Ukweli,...

Kiboko ya Wachawi awali hakuwa Mtu WA kutukana watañzania 😃 hata baàda ya kufurushwa na kukataliwa huduma yake. Alikuwa na tumaini kuwa angepewa Msamaha na Kurejesha huduma Zake na kuendelea Kula vichwa. Lakini nionavyo Kwa Hali ilivyo na mabadiliko anayoyaonyesha NI kuwa Hana tumaini tena la Kurejesha huduma Zake Tz. Amekataliwa.
Sasa Dawa iliyobaki ni kutema nyongo kutokana na Hasira.

Sasa je madai anayoyatoa Kiboko ya Wachawi dhidi yetu NI kweli au siô kwèli? Huo ndîo mjadala Kwa Siku ya Leo.
Lakini mjadala utajikita zaidi katika maonî yake kuhusu watañzania kuwa Sisi ni WENDAWAZIMU!

Dadeki yàani Hadi Sisi Watibeli wa Tanzania ni WENDAWAZIMU.😃😃

Sisi Watibeli hatujaumizwa na maneno ya Kiboko ya Wachawi Kwa sababu hayatuhusu, hayana ukweli wowote isipokuwa ni maoni na uzoefu wake binafsi kuhusu watañzania wengi aliowahi kukutana nao.

Kiboko ya Wachawi maonî yake yanaweza kuwa Makali Sana lakini akazungumzia uzoefu wake.
Yeye mwenyewe anashangazwa na Àkili ya watanzania aliowahi kukutana nao na kuwachukulia Pesa zào kirahisi Sana Kwa kitendo cha kujiita Nabii na Kiboko ya Wachawi.

Mpaka anajiita Kiboko ya Wachawi inaashiria alishafanya utafiti wake binafsi na siô lazima upitie kwèñye mamlaka za takwimu, akajihakikishia kuwa Asilimia kûbwa ya Watañzania ni Washirikina na Wachawi.

Kwa Karne tuliyonayo Mtu yeyote Kuamini uchawi na ushirikina anaweza kuingia kwèñye kundi la WENDAWAZIMU yàani Mtu mwenye tatizo la Akili.
Kwa ulimwengu wa Sasa siô rahisi mtu Kuamini uchawi na ushirikina kama Hana tatizo la Àkili yàani mwendawazimu.

Hicho wachungaji wôte, Manabii wôte, wahanga wôte wanajua Fika nikisemacho.

Kama hiyo haitoshi,
Kiboko ya Wachawi anaita watañzania Sisi NI WENDAWAZIMU yàani Akili zetu kûna sehemu zina dosari kutokana na viongozi wa serikali wanajua Kabisa kinachoendelea kwèñye makanisa ya upako NI utapeli lakini bado serikali imeruhusu na haioni shida.

Fikiria Mtu anakuja Kutoa ushuhuda kwèñye makanisa ya upako na hapa siô la Kiboko ya Wachawi tuu nazungumzia makanisa yôte Tz.

Mtu anatoa ushuhuda wa kiwendawazimu, na Wendawazimu wanamshangilia na kujiamini.
Fikiria Mtu anakuambia anafufua misukule, fikiria Mtu anakuambia NI mchawi na aliua sijui Watoto, Baba, mama na Bibi, lakini Vyombo vya Dola vipo havimkamati na tayari Mtu ameshatoa ushahidi wa wazi Kabisa

Lakini Watibeli tunajua kuwa Vyombo vya Dola haviwezi kumkamata Mtu anayetoa ushuhuda wa aina hiyo Kwa sababu wanajua ni mwendawazimu na kichaa ndîo kinamuendesha.

Fikiria Mtu anatoa Laki Moja, Tano mpaka Milioni Moja ili amuone Kiboko ya Wachawi ati Ampe Utajiri, utasema Hapo huyo siô mwendawazimu?

Kitakachokushangaza zaidi kuhusu Wendawazimu huu NI kuwa, wàpo wafuasi wa Manabii Wengine Wanaona wafuasi WA Kiboko ya Wachawi NI WENDAWAZIMU Wakati ukifuatilia wôte wàpo Hospitali Moja ya Wendawazimu ila Wodi zinaweza kuwa tofauti.

Mfalme zumaridi anawafuasi wake. Nabii Tito anawafuasi wake na wengîneo wengi zaidi.
Hospitali Moja, Wodi tofauti, Madaktari(Manabii tofauti) lakini Wagonjwa ni walewale. Mgonjwa huyu akiona huku hakufai anahamia Wodi ya Daktari Mwingine.

Sisi ni WENDAWAZIMU kimsingi, ingawaje wàpo àmbao siô Wendawazimu àmbao wamebaki kuduwaa wakishangaa jinsi Hali inavyoendelea Hapa nchini.
Lakini wàpo àmbao siô Wendawazimu wanaotumia uwendawazimu wa watañzania kama fursa ya kujipigia na kupata kipato Ndio hao Kiboko ya Wachawi na ndugu Zake.

Lakini pia wàpo àmbao siô Manabii lakini Kwa namna Moja ama nyingi wananufaika na uwèpo wa Wendawazimu.
Hapa serikali inahusika Kwa namna Moja ama nyingine Kwa sababu yenyewe ndîo húruhusu hayo kutokea.

Embu Fikiria Mtu anakuambia ukikanyaga Mafuta au kuchukua sijui Madawa ya upako utafanikiwa😆 alafu Kwa vile dosari Ipo unakuta Watu hao. Au ukimwagiwa Maji unapona au kupata kile unachohitaji.

Hii kihistoria mambo mama haya yalifanywa na Kinjektile Ngwale katika vita ya Majimaji. Yàani alitumia uelewa duni wa Jeshi lake kuwaaminisha ûjinga kuwa wakitumia Maji hata wakipigwa Risasi hawatadhurika. Hayo yalifanyika Karne za Huko, Zama za Giza.

Kiboko ya Wachawi anadhihirisha ule utafiti uliofanywa kuwa kwèñye watañzania wanne Basi mmoja anachangamoto ya afya ya Àkili.

Hayati Mzee Mwinyi, aliwahi kusema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu ingawaje alikuja kuifuta kauli hiyo Miaka ya hivi karibuni.
Huenda alifuta ili kufunika kombe Mwanaharamu apite.

Kûna madai pia kuwa kûna Rais WA nchi jirani aliwahi kusema kuwa watanzania ni Sawa na MAITI iliyolala. Zingatia hayo NI maonî ya Watu binafsi Kulingana na uzoefu waô kutuhusu Sisi watañzania

Nini tunapaswa Kufanya;

1. Kufuta Adui Ûjinga.
Baba wa Taífa hili alijua Fika kuwa Adui Namba Moja WA nchi hii NI ûjinga.
Kama siô ûjinga Wala kusingekuwa na makanisa ya upako na Wala Leo hii Kiboko ya Wachawi asingejulikana.

Kama siô ûjinga Wala usingesikia habari za kina Mwijaku, Dotto Magari na machawa Wengine.

Lakini wajanja WA Mjini walishagundua kuwa kuwekeza kwèñye ûjinga ndîo biashara inayolipa zaidi Kwa haraka.

Namna pekee ya kuondoa ûjinga NI kutoa elimu ya kweli (True Education) katika jamii.
Àmbayo Elimu hiyo itamkomboa Mtanzania katika Fikra zote.

2. Kupiga Marufuku Manabii kama tunavyopiga Marufuku waganga wa Ramli.
Hakuna tofauti yoyote Kati ya Mganga WA jadi na Nabii.
Wôte hutumia ûjinga WA wateja waô.
Na kama mteja atakuwa mwerevu Basi humshinikiza mambo ya kiroho asitumie Akili ya kawaidà Jambo ambalo ndîo uwendawazimu wènyewe huo.

3. Kulipisha Kodi kwèñye huduma za kidini.
Huduma za kidini zote Bila kujali ni Dini mpya au za Zamani, kûbwa au ndogo zilipishwe Kodi.
Serikali itajipatia fedha za kutosha kupitia miradi ya kidini.
Kîla kanisa lipewe control number àmbayo serikali itakuwa inajipatia Pesa percentage Fulani.

4. Serikali nje ya leseni pia watoe vyeti maalumu Kwa weñye makanisa au huduma za kiroho àmbapo watakuwa wanalipiwa Kwa Mwaka.

5. Ikipendeza, Ûtawala fulani ambao hautataka uongo n ulaghai ufute Dini zote za kigeni.
Na serikali ndîo íwe Dini, Katiba tutakayoitengeneza ndîo íwe KITABU chetu cha Muongozo.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Wajinga ndo waliwao....na mjinga mpe cheo.
 
Hapo namba 5 sikubaliana na wewe lakini huko kwingine nakubaliana na wewe
Taikon wa fasihi
Hivi nyie watibeli ndio wale wazee wa mjani ehe watoto wa tafari.
 
Namba tano ndîo kukata mzizi WA fitina Kabisa.

Kwa upande wàngu serikali ya nchi yàngu ndîo Dini yàngu.
Ndio maana tunatakiwa kupambana kufanya Katiba íwe Bora inayokidhi haja na matakwa ya WA wôte WA nchi hii Kwa kizazi Hiki na kinachokuja.

Hizô Dini zingine zilikuwa serikali Kwa mataifa ya Wakati huo
 
Ni kweli ila shida ni majibu ya watanzania kisahau uhalisia wao, imani unayotakiwa kuifunza nyumba yako na jamii yako unaiweka kuamini ushirikina wa kisasa kupitia dini amini Mungu yupo aliyekufanya uzaliwe na utakufa halafu ishi maisha mema usimkwaze mtu mwingine
 
Back
Top Bottom