Kwa Bongo hakuna formula kabisa,kila andazi lina contents zake na size tofauti,kuna andazi la bakhresa kuna andazi la mama mwajuma,kuna andazi la 100 kuna andazi la miambili na andazi la kempinski la 1000.
Inategemea na size pamoja na ingredients... But kikubwa jitahid control chakula unachokula kiwe kiasi, maji kwa wingi.. Kula wanga usiikobolewa kwa kiasi.. Mboga za majani na matunda kwa wingi... Mazoezi pia