Je andazi moja linaweza kubeba calories kiasi gani?

Je andazi moja linaweza kubeba calories kiasi gani?

Huck

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
201
Reaction score
85
Wadau nafanya diet kupunguza uzito, ningependa kujua andazi moja lina calories kiasi gani
 
Kwa Bongo hakuna formula kabisa,kila andazi lina contents zake na size tofauti,kuna andazi la bakhresa kuna andazi la mama mwajuma,kuna andazi la 100 kuna andazi la miambili na andazi la kempinski la 1000.
 
Wadau nafanya diet kupunguza uzito, ningependa kujua andazi moja lina calories kiasi gani

Inategemea na size pamoja na ingredients... But kikubwa jitahid control chakula unachokula kiwe kiasi, maji kwa wingi.. Kula wanga usiikobolewa kwa kiasi.. Mboga za majani na matunda kwa wingi... Mazoezi pia
 
Back
Top Bottom